Monday, June 28, 2010

MWANA WA AFRIKA NA HARAKATI ZA UKUMBOZI WA FIKRA..

Anafamika kama Augustine Mgendi lakini wengi mtambua kama Mwana wa Afrika kama yeye ambavyo ujitambulisha katika moja ya vipindi vyake....... Mwanahabari mwenye ndoto za kuikomboa Afrika ktk Utumwa wa Fikra................. Mgendi naweza kumuita mmoja wa wanaharakati wenye Uchungu wa kweli na nchi yake............ Soon atakuja na Blog yake itayokwenda kwa www.mwanawaafrika.blogspot.com na itazama sana kwenye masuala ya kijamii......
Moja ya matukio atakayokuwa anashughulika nayo ni kama hili hapa kwa picha..... kama wewe ni mtu uliyekaribu na vyombo vya Habari na unaguswa na masuala ya kijamii utakumbuka haya makaburi yanayoonekana katika picha hii....... Ni moja ya tukio la kihistoria lililotokea kule nje kidogo ya Manispaa ya Musoma. Ni Mauaji ya kikatili kwa familia ya watu kumi na saba (17). Mwana wa Afrika kwa pamoja nasema karibu janvini........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment