Saturday, June 26, 2010

MB DOGGY KUPIGA BONGE LA TOUR U.K

Naweza kumwita bingwa wa malav dav, Mb Doggy ambaye amepata shavu la Bonge ya Tour ndefu pande hizo za United Kingdom (U.K)....Info ambazo zimenifikia kupitia Mnyamwezi wake wa Karibu sana ambaye kwa pamoja wanaunda kundi la MAKOPA INC.. Ameniambia kuwa Doggy atakuwa anashow U.K kuanzia Leo 26 june mpk 21 July 2010... kama jana mwana kakwea pipa kupeleka burudani pande hizo.... So wadau wa Mb na Bongo Fleva pande hizo stay tuned 4 Mb Doggy.....................
PIX ya juu ni Mb Doggy akiwa na wanake Yakuzza Mobb ambao wanabang na Video yao mpya ya UNASITA wakiwa wamefanya Collabo na Steve wa R'n'B. Na video inafanya vema tu kupitia vituo mbalimbali vya Tv ndani na nje ya Bongo..... Then hapa down ni Yakuzza Mobb wakiwa katika pozi tofauti ,,... Hapa Doggy pale Yakuzza Unapata kitu cha MAKOPA INC... Kwa kifupi MA inasimama kama MANZABAY, KO inasimama kama malav dav , PA pamoja washikaji..................... ni hayo tu kwa leo..... Doggy kazi njema mzazi!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment