Friday, June 18, 2010

EBONY FM WALIPO WADONDOSHA MAKHIRIKHIRI IN IRINGA..

.Last wk-end pale kati viwanja vya samora Iringa Town Ebony Fm iliwadondosha wajanja kutoka mitaa ya kati ya kusini mwa Afrika, wakali wa kupiga kwata amboa wametikisa sana Bongo kwa kupiga Bonge la Tour.............. hapo juu ni stage ndogo ya Ebony Fm tayari kwa show..........
.Hapa madogo wakishow maujanja on stage kwamba wao ni wakali zaidi ya Makhirikhiri....... Etiiiiii dogo anajiita P.Didy wa Iringa.. nilipomuulizia kwanini anajiita hivyo hakuwa na jibu la maana zaidi ya kusema washikaji zake wamezoea kumuita hivyo........ Big up Didy.!!!!!!!
Eeeeeeeeh bannnnnna daaaaah!!!!!! kama ulikosa hii show ya hawa jamaa na unaishi Iringa? ulikosea sana... kwani wazazi walipiga bonge la showwwwwwww yaani mpaka stage ikaanza kulegea hiviiiiiii... jamaaa ni Freshhhhhhhhhhhhhhhhhhh
.Kati ya show ambazo sijawahi boreka hii pia moja wapo...... Daaaaaaah washikaji wanapiga mzigo non-stop... nasemaje!!!!! wanatishaaaaaaaaaaaa. Na zaidi wakatoa tafsiri halisi ya wimbo na neno Makhirikhiri...... mmmmmmmmh kumbe mzee mzima nilikuwa naimba tu.... ni mwanamke hasiye mwaminifu ktk ndoa yake... SO ka kitu cha chitting ndio Makhirikhiri.... Nway Thnx Boss wangu kwa kuwasogeza jamaa hao pande hizo kwani baada ya show ya uwanjani mchana tuliamia V.I.P Club na wakapiga tena Show moja matataaaaaaaaaaaaaa mpk 6 in da Mornie.... Mpk natoka Iringa Town ni bata mrefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu 2 Das'lamu. Thnx God nlirudi salama.

No comments:

Post a Comment