Wednesday, June 2, 2010

BONGO FLEVA YAPATA SHAVU LA AIR TIME MBELE..

Kutana na M'bongo anaewakilisha pande za mbele as a Presenter wa Show inayokwenda On Air kila J'mosi saa 16:30 hadi 17:30. Show inaitwa I.C.A.P (the International Centre for African Perspectives) On Orange Fm 94.0 katika Mji wa Vienna Austria.. Na ina segment 4, Talkin ov Politics, Nusu nusu vybes(100% musik), Stress Free One o One(hapa ni interviews) na karibu hei├čt willkomen(100%&swahili show), hii kitu inapigwa kwa lugha tatu, English, Kijerumani na Kiswahili......

Anakwenda kwa jina la Mfilinge Nyalusi, was Born in Bongo pale Kawe..... Wadau wa Tasnia ya Filamu hope mnamsoma coz kapiga mautundu ya actin kidogo (sauti ya manka firstly) then some projects with Single Mtambalike(Rich Rich), Rashid Mrutu na Mwalubadu. Kijana mzalendo sana yupo mbele but katupia kitu cha lubega. Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii....,

Hapa akiwa moja ya Studio anakopigia kazi (Orange Fm 94.0) na ktk Show yake ni mwendo wa Bongo flavas (Kwa Sana mpk wazijue) Genge kidogo, Naija Fleva na ngoma nyingine za Afrika.. Changamoto kubwa kwake sasa anasema hana ngoma mpya sana za Bongo but anacheza sana toka online the new Songs za kutoka djchoka.blogspot.com ,na pia ana collection yake, Wanajitahidi pia kununua Online ila tatizo muziki wa Bongo ni ngumu kununua Online na tatizo la copy rights linafanya jamaa wasipate kitu chochote ka ngoma zao zinachezwa..,,, Hili ni suala la Basata pia hili wasanii wetu wanufaike na kazi zao....

The Dude akiwa mzigo katika Studio za Orange Fm 94.0 ............... Ni Freshhhhhhhhhhhhhhh

Pia jamaa kapiga mambo ya Video Production tho alienda Austria kusoma Mambo ya Enviromental Engineering ndio akapiga tena mambo ya Media (Talkin ov Studio Production basin' on Camera, na pia Broadcasting.) Kama unavyomcheki hapo juu.......
Brada kazini, pembeni yake ni Producer n show Director Mr. Paul Buckendahil, .Still anafanya course ya Presenting na hajui atamaliza lini aisee........ Coz ni vitu viiingi sana na kila akigusa interrest ni ka 100%. kip it up Bro.......

Zaidi Mfillinge katoa maoni yake na Ushauri kwa wahusika wa Industry ya Bongo fleva kama navyomnukuu " i realy Hate watu ambao wanajaribu kupoteza identity ya muziki wa Bongo kwa kusema Bongo flava sijui imefanyaje..,,lets Unite People Holly, Nollly na Bolly Wood walianza kama hivi.....,,hii argument ya kusema sjui Bongo flava na Hip Hop ya Bongo haitufikishi popote...lets join hands na tupush kweli to the Top,, Producers pia, nashangaa Bongo wanafanya Crank siku hizi pia,,huezi cheza Crank ya Bongo ikashindana na crank ya mtu ka Lil J aisee,betta stick to Our Real Stuff Out there..,, Poa sana n one love......." .......MWISHO WA KUNUKUU.....

Okey time ndio hii hapa ya kushine mpk pande za mbele..... wasanii hapa hakuna suala la Unguruwe ni mwendo wa kumtumia mwana mangoma yako then unapata Air Time za kutoshaaaaaaaaaaaaaaaaaa sana...... na safiiiiiiiiiiiiiii kama una copy right unalipwa kila ngoma ikienda hewani............... BONGOFLEVA ARTIST here we go in Vienna............ mcheck kupitia Email Adress yake
mfilingemfilinge@yahoo.com

No comments:

Post a Comment