Wednesday, June 2, 2010

AY AIBEBA BONGO TENA KTK TUNZO ZA MUSEKE.....

Hili ni suala la kumpongeza Brada huyu kwa kazi zake nzuri anazofanya katika Industry hii ya Muziki wa kizazi kipya hapa Tanzania......... Baada ya kupiga ngoma zinazokubalika Hapa Bongo na kimataifa pia, Kwani ametuwakilisha kwa sana ktk Tunzo za MUSEKE za nchini Ghana kwenye Category ya East African Song Of The Year kupitia ngoma yake ya LEO.............. Namzungumzia Ambwene Yesaya kama AY........ Mzee wa Commercial........
Am Happy kama mdau mkubwa wa Industry hii ya Muziki kwani Ushindi huu si wa AY peke yake bali ni wa Tanzania nzima , so hatuna budi kumpongeza kijana wetu kwa kazi nzuri.... Safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.........

No comments:

Post a Comment