Saturday, June 12, 2010

... 2 MAKAO MAKUU IRINGA 1 @ EBONY FM

Safari moja uanzisha nyingine.... hapa ni baada ya safari ndefu ya dar 2 iringa tulishuka kupata kitu chochote pale Ruaha mbuyuni ktk hoteli ya Al-jazeera.....
Nilipata bahati ya kukuta na mdau wa Habari anaekwenda kwa jina la Fransic kutoka Iringa ambaye tulisafiri safari moja kutoka Dar.... Tulibadilishana Idea kwa sana na zaidi ni mdau mwenzangu unaweza kumpata kupitia www.francisgodwin.blogspot.com .

Hii ndio crew ya Ebony Fm branch ya Dar Arnie Gizzle, Bizzo na Mark japo Leah alikosa hapo kukamilisha Hesabu. Hapo ni pozi kabla ya kuelekea makao makuu yetu Iringa..... zaidi nitakujuza nini kiliendelea ............... Asante kwa maombezi kwani tulifika salama..............


No comments:

Post a Comment