Wednesday, June 30, 2010

VUMILIA AMKUBALI MWANZO MWISHO PAULINE ZONGO

Msanii wa muziki wa kizazi kipya, VUMILIA amekili kuwa anamkubali sana mwanadada Pauline Zongo.... Ameyasema hayo alipoulizwa na Dina Marios kupitia kipindi cha leo tena cha Clouds fm kuwa ni msanii gani anayemvutia hapa Bongo? Kitu ambacho kimenivutia sana ni Appreciation ya Vumi kwa Pauline kwani ni mara chache sana hapa Bongo kukuta msanii anamkubali msanii mwenzake hasa hawa dada Zangu....... Msanii huyo aliyetamba na ngoma kama 'Utanikumbuka, Tatizo Umasikini n.k' pia amirelease liJI-New Song goes by the name of 1 Day..Na kuhusu suala la Albamu amedai ipo tayari na Soon ataidondosha kitaa...Ni moja ya Zao la THT kama unakumbuka, hila kwa sasa anapiga kazi na Kalunde Band na mtu mzima Mang'ustino mwalimu wa WAlimu.......
Dada Pauline Zongo we ni mkali hata me na kukubali kama vigezo vya Vumilia alivyotoa juu yako kuwa we mkali wa kuimba, kutunga na pia kutumia kifaa ka gitaa n.k.......... Nway sasa mara ya mwisho nilikusikia pale kwa Mh. Komba, TOT Kwani upo wapi jamani? au umekatika na Bro GK? PLZ we MISS U JAMANI MAFANS WAKO...... PLZ BACK AGAIN!!!!!!!!!!!!! 

Tuesday, June 29, 2010

HOME IS THE BEST, UNABISHAAAAAA?

East West Home is the best.., Kama wkend iliyopita nilikwenda home kucheck ndg, jamaa na marafiki wa hapa na pale... c unajua unapopata time c mbaya kuwakumbuka ndg zako na kushea nao ulilonalo.... so nikajipendelea kivyangu vyangu kitaa cha tabata kimanga hivi...........
Nikakutana na mwana ambaye nimepotezana nae kitambo sana.. Bon-Crash ndio jina lake huyu chalii, ni mkali sana wa IT... JML Bank Mail Man hope unamsoma mwana eeeh?... Nilikuwa najaribu kumweleza jinsi gani Kazi ipo tight na ndio maana sionekani street wala Home!!!!!! "..Yaani mwana unatoka saa 12 asbh unarudi saa 4 usk....."
Anaitwa K or KELVIN............ Hapa sina haja ya kutoa maelezo we mwenyewe unasoma namba. bt kwa taarifa yko me ndio wa mwisho kwetu... So kazi kwako, ni from Aunt o Uncle?.... Mambo ya Holiday so lazima awe Happy kumwona Brada Once Again Home zaidi ya kumwona kwa Tv.. I love YOOOO!!!!!
Haaa jah jah jah sijamtia machoni kitambo sana huyu Brada kumwona tu mbonge la tabasamu...... 1 Blood, 1 Mumy, 1 Dady Bro....... Akitoka yeye tu Me ndio namfatia.... Wapo matwins hila Kurwa yupo Dom kwa Husby wake... So huyu ni Dotto (Joseph) au Baba Pauline......... 1 love u Bro.. RESPECT!!!!!!
 Pale kati is my Best Hommie Goes by the name of SAimon B. a.k.a Baby Boy...... nae kitambo hivi tunapishana kwa ubize wa town Bana c unaijua Das'lamu...... Nway that was my June Tour.. Very Happy kumeet na Ndg, Jamaa na Marafiki...... FOR GOD N' MY FAMILY I STRUGGLE TO EMERGE...........!!!!!!!!!!!! LOVE U GUYS!!!!!!!!!

Monday, June 28, 2010

MWANA WA AFRIKA NA HARAKATI ZA UKUMBOZI WA FIKRA..

Anafamika kama Augustine Mgendi lakini wengi mtambua kama Mwana wa Afrika kama yeye ambavyo ujitambulisha katika moja ya vipindi vyake....... Mwanahabari mwenye ndoto za kuikomboa Afrika ktk Utumwa wa Fikra................. Mgendi naweza kumuita mmoja wa wanaharakati wenye Uchungu wa kweli na nchi yake............ Soon atakuja na Blog yake itayokwenda kwa www.mwanawaafrika.blogspot.com na itazama sana kwenye masuala ya kijamii......
Moja ya matukio atakayokuwa anashughulika nayo ni kama hili hapa kwa picha..... kama wewe ni mtu uliyekaribu na vyombo vya Habari na unaguswa na masuala ya kijamii utakumbuka haya makaburi yanayoonekana katika picha hii....... Ni moja ya tukio la kihistoria lililotokea kule nje kidogo ya Manispaa ya Musoma. Ni Mauaji ya kikatili kwa familia ya watu kumi na saba (17). Mwana wa Afrika kwa pamoja nasema karibu janvini........................!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Sunday, June 27, 2010

"TP" NEW SESSON WITH ABBRA THE PRODUCER...

Hapa ni crew nzima ya Tupo Pamoja tulipokaribishwa ndani tayari kwa kupiga show Pande hizo za kinondoni........
Mzee nikipata maelekezo kutoka kwa my Producer Big Tommy what 2 do during the show .... kazi imekomaa mpk tumeongezewa kichwa kingine kwenye Crew, huyu jamaa aliyeinama anakwenda kwa Jina la Nicolus, brada Frm Naii Kenya to Ttv...
Sina haja ya kusema lolote kwan wana unawaona mwenyeweeeeeeeeeeeeee!!!! Busy na mashot ya ukweeeh, daaahh mtu mzima Sam Tibba, The General na Producer Big Tommy....... Niliwamiss niaje kipindi hiki cha likizo time????????????????????? This time TP inakuja kitofauti sana...... Si kama mlivyoizoea.. Stay Tune 4 New Things funs!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ready 4 action???????????? That is my Boy The Producer akiwa tayari kwa kupiga mzigo ndani ya Studio za mtu mzimaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.................

Yes Yes ladies n' Gentlemen namleta kwenu the Man Himself ABBRA The Producer.......... Mmiliki wa Video Studio ya GHS (Golden Heart Studio)..Hapo akiwa na Bi kidude baada ya kumaliza mzigo......... Since 2005 jamaa yupo kwenye game la Video Production ambapo alianzia kupiga mzigo studio za Visual Lab chini ya mkali Adam wa Next level............... Mpk anaisimamisha GHS amepitia mengi sana but zaidi anamshukuru sana Adam kwa kumpatia skills za kutosha mpk alipofikia................

ABBRA The Producer ameshapiga Video kibao sana , Hope kama huko makini na video za Bongo Fleva utakuwa si mgeni na hili jina la GHS.......Hasa Video iliyoleta utata hapa Bongo ya Offside Trick iliyokwenda kwa jina la Bata............. Hapo akipiga mzigo Muda Criss

Hapo Brada akiwa kazini akipiga mzigo na mwanamuziki Doricka........ Moja ya kazi nzuri pia!!!!!!!!!!!!!
ABBRA ni mkali wa shots ka The Gen.... Hapo akiwa ktk Angle fulani kati huku akichukua Bonge ya Shot................ Na Pembeni akiwepo mwana wa karibu sana na Mb Doggy anaekwenda kwa jina la Becka


Hapo kati ni Bi Kidude na wajukuu zake Offside Trick baada ya kumaliza mzigo wao mpya uliopigwa na ABBRA The Producer............ So wana wanashow Love na Bi Kidude kwa shangwe zoteeeeeeeeeeeee wakionyesha Tupo Pamojah........ Namzimia sana huyu Bibi Daaaaaaaaaaaaaaah....... Nway ni kama Show pande hizo za Kinondoni Tukaimaliza poa na kumwacha mwana akiendelea kukomaa na mzigo hapo GHS Studio............... Kama kawa nilipita kung'aa na sumu za FELIX SINZA CLASSIC WEAR pale Sinza kijiweni.........................!!!!!!!!!!! So don't ever dare to Miss The Show ever Friday @ 9pm!!!!!!!!!!!!

Saturday, June 26, 2010

NAWAMISS HAWA JAMAA BANA... HASA WK END KAMA HII.

Hapo kati ni Bonnie-Sly na Juddy Mzurikwao, .... Aunt Hongera kwa kumaliza masomo yako salama... Karibu kitaa Mummy!!!!!!!!!!
Haaa jah jah jah kabla ya kusoma lazima ucheke...Unabishaaaaaaaaa???. kati ya watu walioni-make Happy toka naingia Iringa Town mpk natoka ni huyu Brada... kila nikimtazama nacheka mwenyewe... Anaitwa Mwalubadu.... nimekumiss jooh mzee wa Bata mrefuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!!!!

Hapo vipi Brada???????????.... moja ya maproducer mwenye vituko Tz............. Anaitwa Saggy akiwa ktk Pozi na Mwalubadu......... Nawamiss sana bana.!!!!!!!!!!!!!!!!
Huyu Dj lakini nae anavijiuchokozi vya nyimbo balaaaaaaaaaaaaa, akawii kukupa dongo kupitia mjisong' , anafamika sana pale Iringa Town kama Dj KWASA......
Mabradamen, matozi wengine uwatania mashalobaroooooooo ( si mimi jamani) ambao wana swagger zao kivyao vyao ............ Pale kati ni J-ree na Ne-Mo......... Pia NAWAMISS SANA WANA...... Wote hapo juu ni wafanyakazi wenzangu wa Ebony Fm ambao nakutana nao mara moja moja nikiwa Iringa Town... 4 REALY I MISS U ALL na wengine ambao sikupata pix zao... Hope hapo kati cha SOON ya July tutamit tena bana.... SO say Holla 2 my People Over there.. WK-END NJEMA WANA!!!!!!!!!!!!!!!!!!

MB DOGGY KUPIGA BONGE LA TOUR U.K

Naweza kumwita bingwa wa malav dav, Mb Doggy ambaye amepata shavu la Bonge ya Tour ndefu pande hizo za United Kingdom (U.K)....Info ambazo zimenifikia kupitia Mnyamwezi wake wa Karibu sana ambaye kwa pamoja wanaunda kundi la MAKOPA INC.. Ameniambia kuwa Doggy atakuwa anashow U.K kuanzia Leo 26 june mpk 21 July 2010... kama jana mwana kakwea pipa kupeleka burudani pande hizo.... So wadau wa Mb na Bongo Fleva pande hizo stay tuned 4 Mb Doggy.....................
PIX ya juu ni Mb Doggy akiwa na wanake Yakuzza Mobb ambao wanabang na Video yao mpya ya UNASITA wakiwa wamefanya Collabo na Steve wa R'n'B. Na video inafanya vema tu kupitia vituo mbalimbali vya Tv ndani na nje ya Bongo..... Then hapa down ni Yakuzza Mobb wakiwa katika pozi tofauti ,,... Hapa Doggy pale Yakuzza Unapata kitu cha MAKOPA INC... Kwa kifupi MA inasimama kama MANZABAY, KO inasimama kama malav dav , PA pamoja washikaji..................... ni hayo tu kwa leo..... Doggy kazi njema mzazi!!!!!!!!!!!!!!!!

Thursday, June 24, 2010

NEW SESSON YA TUPO PAMOJA MEETS......I

I told u we BaCk AgAin wadau.... picha kama inaanza hivi.., Bro akiwa anachukua footage.. Huyu Chalii ni wa kwanza kufungulia sesson hii mpya....... ya Tupo Pamoja...
Brada akiwa kazini ........ Hii ni moja ya vitu alivyozungumzia ktk show.... Nimekudokolea kimtindo tuuu... Wachache na wenyeji wa Industry hii ya Video Production wameshamsoma ni nani? Wengine mtihani eeeeeh? ... Nway msikonde Full belt nakudondoshea vErY sOOn...................

Friday, June 18, 2010

EBONY FM WALIPO WADONDOSHA MAKHIRIKHIRI IN IRINGA..

.Last wk-end pale kati viwanja vya samora Iringa Town Ebony Fm iliwadondosha wajanja kutoka mitaa ya kati ya kusini mwa Afrika, wakali wa kupiga kwata amboa wametikisa sana Bongo kwa kupiga Bonge la Tour.............. hapo juu ni stage ndogo ya Ebony Fm tayari kwa show..........
.Hapa madogo wakishow maujanja on stage kwamba wao ni wakali zaidi ya Makhirikhiri....... Etiiiiii dogo anajiita P.Didy wa Iringa.. nilipomuulizia kwanini anajiita hivyo hakuwa na jibu la maana zaidi ya kusema washikaji zake wamezoea kumuita hivyo........ Big up Didy.!!!!!!!
Eeeeeeeeh bannnnnna daaaaah!!!!!! kama ulikosa hii show ya hawa jamaa na unaishi Iringa? ulikosea sana... kwani wazazi walipiga bonge la showwwwwwww yaani mpaka stage ikaanza kulegea hiviiiiiii... jamaaa ni Freshhhhhhhhhhhhhhhhhhh
.Kati ya show ambazo sijawahi boreka hii pia moja wapo...... Daaaaaaah washikaji wanapiga mzigo non-stop... nasemaje!!!!! wanatishaaaaaaaaaaaa. Na zaidi wakatoa tafsiri halisi ya wimbo na neno Makhirikhiri...... mmmmmmmmh kumbe mzee mzima nilikuwa naimba tu.... ni mwanamke hasiye mwaminifu ktk ndoa yake... SO ka kitu cha chitting ndio Makhirikhiri.... Nway Thnx Boss wangu kwa kuwasogeza jamaa hao pande hizo kwani baada ya show ya uwanjani mchana tuliamia V.I.P Club na wakapiga tena Show moja matataaaaaaaaaaaaaa mpk 6 in da Mornie.... Mpk natoka Iringa Town ni bata mrefuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu 2 Das'lamu. Thnx God nlirudi salama.

Wednesday, June 16, 2010

NI ZAMU YA SAJNA SASA..............


Kama mdau wa BongoFleva napenda kumtambulisha kwenu Msanii Mpya wa kizazi kipya, SAJNA all da way from Rock City Mwanza, ambaye anatamba na ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la IVETA... Yupo Dar kwa sasa ikiwa ni kujitangaza na pia kutangaza ujio wa Albamu yake ya kwanza ambayo itabeba jina la IVETA na ipo ktk hatua ya mwisho kuingia Sokoni

Ngoma ya IVETA inatokana na True Story iliyomtokea jamaa mmoja frm Bukoba ,ambaye alikuja Mwanza kutafuta Life na kumwacha mpenzi wake Iveta home bkb..... So after all happened mchizi alimfuata SAJNA amwandikie ngoma hili msg imfikie mlengwa.... kama ujaisikia fanya hivyo kwani ni bongeeeeeeeeee la ngoma..........

SAJNA anasema, Albamu yake ya kwanza itakwenda kwa jina hilo hilo la IVETA na itabeba jumla ya ngoma 10...........

Na katika Albamu SAJNA atadondoka na bonge la Collabo na wakali kama BELLE 9, LINAH na JOSEFLY............. Hili kuprove kipaji kijana kaamua kuwashirikisha wasanii wachache........

Albamu imepitia katika mikono ya wakali,,,, Studio kali pia kama TETEMESHA RECORDZ (Kid Bwoy), AB RECORDZ (Amba), MUSIC LAB(Duke), MZUKA RECORDS (Benja), A2P RECORDS (Sam Timba), na kwa MJ RECORDS (Marco Chali)................ Daaaaaaaaaaaaah ni mikono salama sana .... So get ready kwa hiyo upcoming Albam kutoka kwa SAJNA ambaye ilikuwa 2pige nae show last week but nilipata safari ya Iringa na This week mchizi anarudi mwanza... But si mbaya wadau wa "TP" tutamwona soon atakaporudi Dar........ Support His Music 4 da Next level!!!!!!!!!!!....

Tuesday, June 15, 2010

IRINGA MBARATATA, BATA MREFUUUUUUUUUUUU.....

Ikawa jioni ,ikawa asbh , Crew nzima ya Ebony Fm tulikaribishwa nyumbani kwa munene 4 da Breakfast... Hapo Kati Marck, Bizzo wa MNM na Arnie G. tukibadilishana mawazo..... kwa kweli ni kitambo cjakamata kitu ka hicho... Bata mwanzo mwisho tho kabaridi mmmmmmmmmmmmhhhhhhhhhhhh...
Kutoka Dsm Tzniaaaa, mamaaaaa Leah akiwa ametoa ulimi nje kuashilia amemkubali bata wa kwa munene....... Pembeni mtu mzima Allen presenter wa Ebony Fm.........
Daaaah kama macho'z yanavyoonesha hapo mbele ni baadhi ya crew ya Ebony Fm tulipokuwa nyumbani kwa munene... Bahati iliyoje kualikwa na Boss wenu 4 da breakfast???????????
Sijui ni Baridiiii au Njaaaa? Bony-sly vipi huo mkunyato? bt inawezekana Baridi maanake hapazoeleki huko..........
Haya sasa Time ya kujiachia!!! full madikodiko mezani ni wewe tu kusema meza ipi unataka kwenda maaaaaaaaaaana zilikuwepo ka saba hivi...... hila hii ilipendwa zaidi na wengi....
Baada ya B.F ndefuuuuuuu! watu tukapata nguvu ya kujuliana hali na story za Hapa na pale, Bony-sly (aliyekupa mgongo), Arnie Gizzle, Bizzo wa MNM na Maregesi G. a.k.a Jembe la Ebony Fm...............

Jamani nimeshashiba sasa ni kujiachia na camera ya Kiduchu.................... Arnie Gizzle nlijikinga Baridi kimpango huo bt nilikiona cha moto......................


Pedesheeeeeeeeeeeee!!! mwenye pesa mingiiiiiiiiii Ebony nzima (George Ndabagoye) Mzee wa Viva Africa.. akifurahia kitu pembeni ya.... Bizzo, Mipax Marck na Arnie Gizzle.

Dadaz wa Ebony FM wakibadilisha mawazo baada ya bata mrefu hiyo asbh... mwenye jeans ni mamaa wa mipasho Hatya akiwa na Bahati Alex (watata hao) na nyuma ni mdas'lamu Leah....

"Welcome 2 ma' palace!!" daaaaaaaaaaaaaaaah Bony-sly unatisha weweeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!!!!
Kama mdau wa Bongofleva hope unamsoma sana huyu kijana .... Anaitwa Ne-Mo akiwa na Emma ambao pia ni wafanyakazi wenzangu, kwa sasa wanapiga mzigo HOT Fm mdogo wake Ebony Fm pande hizo hizo za Nyanda za juu kusini (IRINGA)

Wadau wakikutana utawajua tuuuuuuuuuu!!!!!!!!!!!! hapo ni J-REE mzeyah wa www.twentyfoursevenmishemishe.blogspot.com, Aggy wa www.kiduchu.blogspot.com, na Bizzo wa www.muzikinamaisha.blogspot.com,
pande hizo sana fanya kuvisit 4 info za kijanja..................


Saturday, June 12, 2010

... 2 MAKAO MAKUU IRINGA 1 @ EBONY FM

Safari moja uanzisha nyingine.... hapa ni baada ya safari ndefu ya dar 2 iringa tulishuka kupata kitu chochote pale Ruaha mbuyuni ktk hoteli ya Al-jazeera.....
Nilipata bahati ya kukuta na mdau wa Habari anaekwenda kwa jina la Fransic kutoka Iringa ambaye tulisafiri safari moja kutoka Dar.... Tulibadilishana Idea kwa sana na zaidi ni mdau mwenzangu unaweza kumpata kupitia www.francisgodwin.blogspot.com .

Hii ndio crew ya Ebony Fm branch ya Dar Arnie Gizzle, Bizzo na Mark japo Leah alikosa hapo kukamilisha Hesabu. Hapo ni pozi kabla ya kuelekea makao makuu yetu Iringa..... zaidi nitakujuza nini kiliendelea ............... Asante kwa maombezi kwani tulifika salama..............