Thursday, May 6, 2010

WHEN TUPO PAMOJA MEETS BIZZO....

Moja 2, 3, ACTION....................... Arnie Gizzle standby kwa mzigo.........!!!!!!!!!!!!!
Hapa mzee kama nilikua nafungua show hivi , Hope unaona mwendo 250 HDV mbele yako??????????
Producer B.I.G kama anaingilia kati hivi , "wewe Gizzle mbona umeanza upo down? Plz sijaipenda hiyo embu rudia hapo tena"     Daaaaah kaziiiii kweli kweli......
Big bana akaona kijana hanazengua, then hatua ikachukuliwa namnukuu "we si unakataa ngoja nikuonyeshe hata me ni mkali zaidi yako....." hope ungesikia kilichoendelea hapo ungecheka zaidi yetu...
Kichwa kingine cha shots za kutosha ... Huyu jamaa ni fundi mkuu ktk idara ya Ttv but ni mkali wa Camera mpk namuogopa mbaya. Anaitwa Junkin Milli..... Ni noma!!!!!
Hapa mtu mzima alipohamua kusimamia mzigo mwenyewe hili apate shots anazotaka baada ya The Gen. kuchelewa kidogo ... Namzungumzia Producer of the show B.I.G Tommy.

Sio tunabishana lah hasha! nikuweka mabo sawa tu na mtu mzima ........ katika show unamjua ni nani?    embuuuuuu!!!!
Anafamika kama Renatus Kiluvia a.k.a BIZZOMTANGAZAJI WA REDIO EBONY FM - IRINGA, akiwa anawakilisha pande hizi za Dar. Wadau wa blogs ukivisit Muzikinamaisha.blogspot.com utapata full profile yake. Leo alikuwa Mgeni wa Tupo Pamoja ya Ttv katika Side B kama mdau wa muziki wetu wa kizazi kipya kushare idea na wadau wengine kwa lolote alilonalo kuhusiana na kili music Awards.

This is a serious Dude unapokuja kwa suala zima la kazi. The man himself Arnie Gizzle.  U know what it's, what it's.......... Makini nikimtegea sikio mwana anavyomwaga madini!!!!!!!!!!
Baada ya mzigo kama kawa kama dawa lazima tushow love mwanzo mwisho hapo Gizzle pale Bizzo unaonaaaaaa eeeeeeeeeh!!!!!
Then kama kawa tukamaliza kwa Pozi hili, Me tayari kwa kupiga segment ya Side A na nani unajua? just wait Kesho nakudondoshea mzigo mzima mwanzo mwisho ..... Thax Bizzo kwa Harakati hizo. Hope umeona nilichotupia juu hadi chini ni kutoka pale Sinza Kijiweni kwa Mtu mzima FELIX SINZA CLASSIC WEAR...... Ukitaka kupendeza usiulize pa kwenda fika pale kuna kila aina ya sumu mkubwa ni wewe na roho yako.......

1 comment:

  1. joddete iyogooo...mwasi kitoko nakati ya tumainiMay 14, 2010 5:09 PM

    ebwana daah yaani dah pix za ukweee....ee bwana dah mbona sijaona pix yangu mkubwa ee bwana dah...popoppimpoooooo eeebwana hilo sebene ningekuwepo dah

    ReplyDelete