Friday, May 28, 2010

TUPO PAMOJA CREW ON TV TONIGHT......

Leo ktk Side B ya Tupo Pamoja Show ya Ttv nitakuwa na crew nzima ya TupoPamoja kuanzia Producer mpk .................... yaani wanaosababisha mpk iwe On Air kama unavyoona hapo juu....
Hapo kama mtu mzima Arnie Gizzle nilikuwa nabishana kitu na Samson Tibba The General ktk Interview.................
Nikimulizia kitu mwanadashoti wa Inbox ambaye pia ni Make Up Artist wangu Aneth Nyoni.....
Hapa mzee mzima BIG Tommy The Producer of Tupo Pamoja kizungumza kitu kwa msisitizo sana........................
Jamani hata Hi hakuna???????? kwani nini nilikuwa nazungumzia hapo? Nimesahau kabisa, Nway fanya kucheck show Leo saa 3 usiku only On Ttv ...
Kama Crew ilikuwa imepania vile kuelezea changamoto wanazokutana nazo daily ktk kazi ya kuiweka Show juu The Gen ... akitoa msimamo wake.............
Hapa Big Tommy na Aneth Nyoni wakimsikiliza kwa makini sana Msema lolote Arnie Gizzle...................... safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
Kama hivi baada ya Show tukaonyesha ishara ya Upendo na pia kukumbushia Logo yetu ya Tupo Pamoja ya kushow Love kwa kushikana mikono ..... Hope u knw That.............
Hapo ni kama nilikuwa namaliza show hivi... then Aneth akawa ananiambia kitu bana.............
Huyu ni Salome Mrusha ambaye ali-Act kama camerawoman that day kwani Crew nzima ilikuwa mbele Ready 4 Action.........
Da Salome akiwa kazini tayari kwa kupiga Shot za kufa mtu, Safiiiiiiiiiiiii.
Baada ya Crew nzima kuwa mbele ya Camera Dennis Isike akachukua jukumu la kuwa Director wa Show........... Freshhhhhhhhhhhhhh
Huyu jamaaaaa chaliiii anaitwa Frank a.k.a Mzee wa Kisukuruuuuuuuuuu daaa yupo mitamboni kila Friday ku-make Sure Show inakwenda On Air @ 9pm... kama unavyochek background yake ....... Nway kama kawa kama dawa mtu mzima nimekuwa Dressed na FELIX SINZA CLASSIC WEAR..... Pale Sinza Kijiweni..... Sumu za Hatari humo ndani ... fanya tu kufika pale uone mwenyeweeeeeeeeeee...
DON'T DARE TO MISS THE SHOW AS WE END THE FIRST SEASON!!!

No comments:

Post a Comment