Thursday, May 27, 2010

THIS FRIDAY ON 2PO PA1 SIDE "A" ...........

Kama unavyojua mambo ya Production mwanzo mwisho kabla ya Action lazima upite kwenye make up kimtindo.... mapodaaaaaaaa!!! laaalaa!! Aneth Nyoni akiwa kazini na Gizzle....
Hili kuokoa muda pia mtu mzima The Gen. akabidi aingilie kati hili kuniwekea Mic (lapel mic) kaziiiiiii kwelikweli............
Hapa kama nilikua najitambulisha... oooooh me naitwa Arnie Gizzle na karibu ktk Show...... aaaaaah nimekosea take two! Leo ktk side A nikakuwa na washikaji toka hapa Dsm wakiwakilisha Crew yao ya KVC ktk Industry ya Bongofleva kama wasanii chipukizi (Underground )........
Kama unavyowaona wanaweza kuwa wageni machoni pako but ndio time yako kuwatambua kupitia Tupo Pamoja Show ya Ttv kwani wajibu wetu ni kusupport Industry hii to the Next Level!!!!!!!!!! Kipunguni Vision Centre (KVC) ndivyo wanavyofaamika kama Crew......
Kama hawa jamaa ni ndugu hivi..... nway huyu anafamika kama Eze Boy Represent KVC.....
Bro katika swaga akimsikiliza Gizzle kwa makini anakwenda kwa jina la Mick ......
Daaaaaaah huyu na yule, hapo kati ni kwamba Eze Boy na huyu mshikaji ni ndg wa tumbo moja..... Yeye anajiita Mr. Deo 
Mpk sasa KVC wana Single 4 na kati ya hizo 1 ndio hipo Released sambamba na Video yao ambapo humo ndani wamempa collabo mtu mzima Ali Kiba na Dullayo..... Na ngoma inakwenda kwa jina la SHAKIRA........Info Zaidi Don't Miss Tupo Pamoja this friday @ 9pm on Ttv.................Alwayz Dressed By FELIX SINZA CLASSIC WEAR , pale Sinza Kijiweni..................KARIBU!!!!!!

No comments:

Post a Comment