Thursday, May 20, 2010

RADIO/TV TUMAINI SAFIIIIIIIIIIII.... BAGAMOYO PARTY!!!

Ilikuwa party moja simple but kali kinoma pande za Bagamoyo pembezoni mwa ufukwe pale Beach Bora....... kitu cha kati pale ni keki ikiwakilisha vyote ka unavyoona.
Goma likaanza mzazi, mara paaa kamera ikafuata mzigo taratibuuu.... embuuuu
Jamaniiiiii ndio style gani tena hii ya kufungua champagne ? Daaaaah ndio kwanza naiona.. Huyo ni mtu mzima Gau akiwa kazini.......
Haaaaaaaaa kitu cha kati Bro Junken kumbe na wewe unaweza? haya wadau karibuni
Kama bonanza wangu.... nilimiss hii game jamani kwani time hizo nilikua sijafika eneo la tukio.
Bro Soka we na mpira wapi na wapi? japo sikushuhudia game but nasikia ulijaribu sana... Sasa ulikua goalkeeper au? safiiiiiiiiiiiiii.
Muda ukafika Bro mkubwa KP akawaita vijana wake "haya haya njooni sasa muda wa kuparty ndio huu na michezo kwisha" ana vituko huyo!!!!! 
Vijana wakaitikia wito, waliokuwa wanaoga haya, waliokuwa wanapiga soka haya wote wakamsilizia Bro mkubwa KP.........
All da way from da ground waheshimiwa wakaanza kusakata rhumba, sasa sijui ni ngoma gani walikua wanaserebuka? maana nilikua sijafika muda huu.. 
Nitamulizia Bro Soka ni style gani walikuwa wanacheza maanake siwahelewi? twende mbele , rudi nyuma safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii.....
Haya chacha Dj nae akaona hiyo style inamzengua, akawa kama anatafakari ni ngoma gani ataipandia hapo..... ndio Bagamoyo hiyo..
Sina uhakika kama alikuwa MC kwa siku hiyo, lakini kwa ukarimu wake, alipotuona kwa mbali tunaingia akashika mic na kusema" Dj , STOP!!! kuna watu wanaingia, eembuuu ..............
Kwani nani? si Gizzle, Vero na The General .... safiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii 
Kama tuliwagusa waliokuwa wamekaa , si ndio kitu cha kati watu wakajongea Dancing floor mpk Dennis Isike?
Watu eeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeh!!!!!!!! wakaongezeka tena na tena, na tena, mpk daaaaaaah.... unaonaaaaaaaaaa?
Mmmmmmmmmmmhhhhhhhh Boss na Yebbo? ama kitu gani kile? lkn safiiiiiiii

Hapo me sisemi lolote kabisa............ tutamuliza aliyekua anaongoza pale kati Bro KP

Sasa bana tukakutana na wanachuo kutoka chuo cha bihashara CBE nao walikuwa na mtoko wao pale Beach Bora.... Wakajumuika nasi na Party ikaanza upyaaaaaaaa 
Hapo nani mkali kama asemavyo sister P?... kati ya CBE na Radio/Tv Tumaini?
Mduara ukaisha yakaanza mambo ya swaga za kwa Madiba, mamah mamah mamah balaaaaaa Flowers wamenona hile mbaya!!!!!!!!!!
Haiwezekani bana kwani flowers tu ndio wanaweza hizo ? Si ndio watu wazima tukajitosa kwa mbaliiiii..... ni Freshhhhhhhhhhhhh
Flowers walikuwa mzuka , kitu cha kati wakiongozwa na dada Olvia ..........
Haaaaah jaah jaah jaah mamaaaaaa .. i wish ungekuepo wangu hilo sebene............
Kitu cha macho mbeleeeeeeeeeeee, watu wakitupia macho kwa wanakuserebuka........ na mipango kwa mbali inaendelea bana
Si kwamba I was dancing? Nah ni kama mapozi after p kibao na Dennis Isike...........
Hawa ni Raia wa Bagamoyo na wenyeji wetu kwa siku hiyo ....... tuliwakaribisha uwanjani but kama wakao.....
Jamaaaaaaa hawa jamaaaaaa!!!!!! wanazuga na juice? mmmmmh Dennis and The Gen. ya ukweli hayo hata kaka John kagoma katakata.......
Kuna time zilifika kama watu wakasanuka na kuanza kupiga pozi mbalimbali kwa kumbukumbu za hapa na pale.....
Wa kwanza ni Gizzle, General, kati pale Olvia, KP na Vero ktk dooooooo safiiiiiii
Hapa Producer wangu Big Tommy akasema Hadanganyiki....... cjui nini??
Nikapata chance ya kupiga nae pix moja hivi......... TUPO PAMOJA
Hiyo Serengeti jamaniiiiiiiiiiiiiiiiiii ha ha aha ha The Gen unatisha...... sibishiiiiiiii
Nikasema kaka Soka na Dada Olvia naomba tufanye ukumbusho u never know jamani mkononi ni glass za Bagamoyo........ Unabishaaaaaaaaaaaaa?????
Huyo kati ni Bro Joachim Kapembe "KP" .. ........ Safiiiiiiiiiiiiii The Party was so Good!!! Napenda kuchukua nafasi hii kwa niaba ya wafanyakazi  wenzangu kuushukuru Uongozi  mzima wa Radio/Tv Tumaini kwa shangwe hizo.... Freshhhhhhhhhhhhhh

No comments:

Post a Comment