Thursday, May 13, 2010

NEY WA MITEGO ASEMA HANA BEEF NA DUDU BAYA.

Kama we mdau wa Bongo Fleva jina la Ney wa Mitego litakuwa si geni kwako? Tupo Pamoja ya Ttv katika segment yake ya Side A ilimkaribisha mwana mjengoni nakupiga nae 2 ,3 story zinazomake Headline hapa Bongo........... Kawa dawa hapo juu unamwona steering yupo tayari kwa Action......
Karibu Bro ndani ya TP...... Mengi tulizungumzia lkn kikubwa ni pale nilipotaka kubalance story juu ya project ya Nguruwe inayomgusa Ney moja kwa moja, But mzazi alikanusha kuwa yeye hatumiwi na chombo au mtu yoyote hivyo anafanya muziki kama anavyotaka na hasa kwa mafanz wake na si lingine..............
Nikaona hapana , swali:- "Ney Dudu anasema wewe ni kama mwanamke malaya anehongwa gari bila kadi mwisho wa siku akichokwa ananyang'anywa?"...... Alichonijibu hapo sikutegemea kukisikia kamwe.........
Katika hali ya kawaida Ney alijibu yeye hana Beef na Dudu kwani before Project ya Nguruwe walikuwa marafiki wazuri na hata walikua na mikakati ya kutengeneza Project ya Pamoja but hajui nini kilitokea pale, gafla frm Nowhere Dudu kajikataa na mara Nguruwe hiyo kitaani.......
Zaidi tulizungumza mengi sana, kama vipi fanya kuchungulia TP show this Friday saa 3 usiku Only on Ttv na marudio yake ni j'mosi saa 2 usiku na j'4 saa 5 asbh... Pia najua unapenda kutupia sumu za Ajabu kwa mwili wako hili ushine ka mimi nilivyotupia kitu cha green hapo juu, basi fanya kufika pale Sinza kijuweni kwa FELIX SINZA CLASSIC WEAR ambaye pia ndio ananing'arisha ktk Show zote za "TP"................ So don't Miss The Show!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment