Tuesday, May 18, 2010

MY YOUNG G NI FRESHHHHHHH.....

All da way from Rock City Mwanza, kama Sura inasomeka vile ni mdogo wa Gizzle na mwanaharakati ka Bro since standard 2...... Anafahamika kama Alfred George Russeta  napenda kumuita Fredwaa au  My Hood ni mwanachuo wa University of Dar Es Salaam Computing Center  udcc (mwanza Branch).  kama background inavyoshow kwa wale wenyeji wa Zoo inasomeka Freshhhhhhhhhhhhhhh....
Fredwaa anachukua kitu cha Dip in IT... kama unavyowajua watu wa IT kama wakibahatika kupata watoto mapacha, usishangae majina ya Utata kusikia Kurwa anamwita COPY na Dotto anamwita PASTE............. ukiuliza kisa? wanasema wapo familiar na Computer Daaaaaaaah!!!!!! but Freshhhhhhhhhhhhh dogo akiwa class na washikaji zake.....
Kitu ka nataka kum wish all the best bwana mdogo kwani it was his dream kufika level hivi.....  Dogo kazi kamba safari bado ni ndefu sana........... Yes bro , yes yes bro, I knw and I believe U can make it happen...... plz just work Hard and be strong enough fam!!! 1 LOVE GOES OUT 2 U  MY HOOD!!!!!!!!!!!!!!   Pah More Jah!!!!!

No comments:

Post a Comment