Monday, May 3, 2010

MY BRO AMEAMUA KUJIAJILI MWENYEWE BANA.........

Kati ya watu wangu wa Ukweli this guy is 4 real to me.... nimekutana nae chuo miaka kadhaa iliyopita but the end of the day tukawa ndg. na si rafiki tena. Anaitwa Saimon Bundala lakini zaidi anafahamika kama Baby Boy.......... After College jamaa akaona hakuna deal tena kwenye suala zima la Ajili..... Mchizi kachukua bonge la Decision na kuamua kujiajili mwenyeweeeeeeeeeee!!!! kwa kufungua Stationary na Internet cafe ya faster ajabu...... 
Nilipata chance ya kutembelea ofisini kwake maeneo ya Ubungo Maziwa karibu naUbungo Modern Sec. school, Nilimkuta B. Boy akiwa busy na kazi zake... Nway jamaa ni Bonge la designer na bonge la creative mbaya, tho sikupata chance ya kupiga baadhi ya kazi alizodesign but soon nitawadondoshea afu tuoneeee...... 
Bro's on pozi tho mdogo wetu Mussa alifikilia nini kutoa hicho kidole cha kati? Msamehe bure jaman ujana tu huo unamsumbua akikua atahacha........ Zaidi namtakia mafanikio mema my Bro From Another Mumy Baby Boy... Keep it up Bro nipo Nyuma yako mwanzo mwisho!!!!!!!!!!!!!!!!!!! 1 LOVE

No comments:

Post a Comment