Monday, May 3, 2010

MISS UNIVERSE TANZANIA 2010..

Wiki kadhaa zimepita pale kwenye ukumbi wa Milimani City niliposhudia wakitangazwa washindi wa Miss Universe 2010.. Aliyetwaa urithi wa Illuminate James ni Binti kutoka A-Town Hellen Dausen kama anavyoonekana ktk picha with full tabasamu..... 1st runner up alitokea Dom goes by the name of Rose Shayo and 2nd runner up ni dada from Rock city mwanza Mwajabu Juma kama walivyo kwa pix na pozi......... Na moja ya vitu nilivyovutiwa navyo pale ni kumwona mmoja kati ya majaji waliokuepo, Producer Mkali East & Central Africa namzungumzia P- Funk Majani a.k.a kinywele kimoja..... pata picha??????
Huyu ndio Miss Universe Tanzania 2010, Hellen Dausen (23 yrs)... Binti anayewakilisha A-town mwanzo mwisho......
Hapa ni washindi wote watatu walipopata pix kwa pozi la pamoja mwanzo ni, Rose Shayo, Hellen Dausen na Mwajabu Juma...........
Katika pozi tofauti mwenyewe kapendezaje? Miss Universe Tanzania 2010, Hellen Dausen  akiwa na tabasamu mwanzo mwisho
Miss Universe Tanzania 2010, Hellen Dausen naomba nikulize swali hili ndio vazi la asili au? eti mdau we unaonaje?
Mwanzo mwisho hilo swaga hata kama we ni pilipili utawaka mbaya haina ubishi hiyo jamani...... Nakutakia mafanikio mema mama katika mashindano ya mwisho utakapoenda kuiwakilisha Tz kiulimwengu........ Hellen Dausen be blessed mama!! Na Watanzania naomba 2mpe Support dada yetu !!!!

1 comment:

  1. vazi la kiafrika wapi huyo muuza face mapaja yote nje bongo bana kila kitu FEKI hata huyu miss FEKI

    ReplyDelete