Thursday, May 6, 2010

MESSAGE FROM DUDU NI MAMBA KWA WADAU...

This noon nilipata msg kutoka kwa Dudu Baya kwa ajili ya wadau wote lakini kutokana na harakati za kurekodi show ya Tupo Pamoja ya kesho nikachelewa kupost mzigo paaaa!!! But si issue ni hivi :-

TOKA MWAKA 2000 MPAKA MWAKA 2003 MSANII ALIKUA ANACHUKUA SHILINGI 100/= KWA KILA TAPE MOJA AMBAYO ILIUZWA 1,200/= MWAKA 2004 MPAKA SASA MSANII ANAPOKEA SHILINGI 200/=, KATIKA TAPE INAYOUZWA SHILINGI 1,500/=, JE KWA NINI BIDHAA YA MZIKI HUWA HAIPANDI BEI KAMA BIDHAA ZINGINE? NADILIKI KUIFANANISHA BIDHAA YA MZIKI KAMA BIASHARA YA MUUZA GENGE,NDIZI,MIWA, MAHINDI NA N.K.
KIUKWELI IT'S TOUCHING
.

Dudubaya a.k.a Mamba

No comments:

Post a Comment