Friday, May 14, 2010

KALLAGE ASEMA TUNZO ZA KILI BADO ZINA KASORO.

Hapo mtu mzima Sam Tibba - The General kama aliona shot haitakua poa hivi!! si ndio akasogea hili anipange tayari kwa kufungua show ya kijanja TP.......
The Man Himself Arnie Gizzle nikitambulisha show kwa watazamaji huku nikiangalia Camera tayari kusababisha Side B ya TP na mtu mzima  John Kallage, Producer mkali wa Videos hapa Bongo.....
Pale nilipomulizia anazungumziaje Tunzo za mwaka huu za KILI MUSIC AWARDS? Jk akasema kwa mtazamo wake Tunzo still zina kasoro kubwa licha ya mwaka huu kujipanga kwa kuwashirikisha wadau hili kupunguza lawama..... Kasoro kubwa aliyoona ni pale walipopunguza baadhi ya categories bila sababu za msingi na kuchemka ktk baadhi ya categories kama hile ya Video bora ya mwaka ambapo ni video mbili tu ndio zimetengenezwa Tz na zote kutoka kwa Adamu wa visual Lab, zilizobakia ni kutoka kenya na S.Africa......... 
Ni zaidi ya Interview so mpango mzima fanya kuchungulia Ttv leo saa 3 usiku katika Show ya kijanja Tupo Pamoja "TP" ktk Side B au Marudio J'mosi saa 2 usiku na J'4 saa 5 asubuhi......................
Kawa katiba Mwisho wa show ni kushow some Love na wageni wetu kwa kupiga pix za hapa na pale.......... kutoka kushoto ni moja ya maproducer wanaofanya kazi kwa karibu na JK chini ya Production ya Kallage's Pictures ambaye jina lake alikufamika kwa haraka, pembeni  Arnie Gizzle , John Kallage (JK), The General na mwisho Producer wa TP Big Tommy................ Mng'ao kutoka FELIX SINZA CLASSIC WEAR  pale Sinza kijiweni ni mpango mzima laaaaah laaaaaah!!!!!!!!!!!! 

1 comment:

  1. hey word up..hope kila kitu kinaenda poa upande huo hapo...me naitwa mfilinge..like this site sana,,i apreciate this kind ov movement(talkin ov takin higher th home ent...am also a presenter on one of th local kabel radios here in vienna austria(radio orange f.m 94.0)ma show z called I.C.A.P(The International Center for African Perspectives)n being a Tanzanian am so proud havin this chance letin nem no smtin bot bongo flava n our music....@large..
    i cud send u a copy of ma show but do know how..(don havy mail so somthin)...will also soon come back to bong to collect som materials for ma sho n holidays too...hop will get some ideas from you pia....thanks alot..
    mfilingemfilinge@yahoo.com
    one

    ReplyDelete