Saturday, May 8, 2010

JUMANNE IDD AWATOA KASORO WAANDAAJI WA BSS....

This week ktk Tupo Pamoja (TP) ya Ttv Side A nilipata ugeni wa Jumanne Idd mshindi wa kwanza wa Bongo Star Search (BSS) 2007. Tulipiga stori kibao sana mbele ya camera na hata nyuma ya Camera tulizungumza mengi....
J4 aliwaponda waandaji wa Bss ambao ni Benchmark kwa mikataba hewa na kutotoa support ya kutosha kwa washindi ikiwa ni pamoja na promo na mambo mengine ka hayo.... Pia alizungumzia ujio wake mpya na Albamu itakayokwenda kwa jina la TAWILE huku ikiwa umepikwa na Producer mmoja tu aliemtambulisha kwa jina la  Double B... Na mzigo umebeba ngoma 10.... Soon Utakuwa Sokoni SO Don't miss it.....
Kama kawa after Show ni Segment ya kushow LOVE na crew katika pozi mbalimbali...... Hope unwasoma wote!!!!!!!
J4 with Crew nzima ya Tupo Pamoja ukianza na Producer Tommy, mwanadashosti  wa Inbox na make up  Anneth Nyoni, Cameraman Samson Tibba (The General), Presenter Arnie Gizzle na Graphic designer Joseph Peter...... sema alikosa mmoja tu Bro Junkin Milli crew ikamilike..
Kama unvyomwona we mwache hivyo hivyo kijana matata sana, Anaitwa Denis Isike (Sound Engineer wa Ttv) akiwa na Producer wa baadhi ya vipindi Ttv Veronica Manywele, hapo akiigiza ka bodyguard wa Dennis........ Mtu mzima kwa juu katupia kitu kutoka FELIX SINZA CLASSIC WEAR  pale Sinza kijiweni... Jamaa ndio wanamdress Presenter ktk Show........ About Isike nitakufamisha soon anahusika vipi ktk TUPO PAMOJA..... TP every Friday @pm,Repeated on saturday @8pm na Tuesday @11am ONLY ON Ttv So Don't Miss Da Hook Show!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment