Wednesday, May 5, 2010

HAPPY BIRTHDAY MY LOVELY MUMY PAULINY.

Leo tarehe 5 May ni siku ya furaha kwangu na kwa ndg. , jamaa na marafiki zangu wa ukweli , kwani ni siku ambayo tunasherekea kumbukumbu ya kuzaliwa kwa mama yetu mpendwa Paulina B. Nyambelwa miaka ya 50's... Let me be open Nampenda sana mama yangu kuliko kitu chochote kile duniani, kwani bila yeye nisingekua hivi nilivyo leo....... Mengi kanitendea ikiwa ni pamoja na kunijenga kiroho na kimwili....... siwezi sema mengi zaidi nikutakie maisha mema, marefu na yenye Baraka tele Mumy.!!!! HAPPY BIRTHDAY MY LOVELY MUMY........... 
                ALL I CAN SAY I LOVE U SO MUCH MUMY!!!!!!!!!! 

Famous People born on May 5th With my Famous Mumy:
1818      Karl Marx         (Asilimia 99 tuliosoma hitoria 2namfahamu huyu mbwana kwa undani zaidi , According to the history was good political philosopher, ambaye historia haitamsahau kamwe!)

1942         Tammy Wynette          (Huyu ni mwanamuziki design hivi mnamsoma)
1943      Michael Palin  (Huyu ni mchekeshaji mashuhuri (comedian), mwandishi/mtunzi na pia ni mtangazaji wa TV)
1981          Craig David      (Huyu ni mwanamuziki toka nchini wingereza aliyetamba sana na vibao vyake kama i'm walking away na 7 days )


Tupo pamoja wadau na zaidi bila kumsahau my cousin sister Anna G. Russeta ambaye pia anajumuika nasi kusherekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa . akiwa pale Udom (University of Dodoma) Namtakia maisha mema hasa wakati huu wa mitihani yake ya mwisho.. God Bless U my Sister Anna                                                     HAPPY BIRTHDAY ALL!!!!!!!!
1 comment:

  1. hey word up..hope kila kitu kinaenda poa upande huo hapo...me naitwa mfilinge..like this site sana,,i apreciate this kind ov movement(talkin ov takin higher th home ent...am also a presenter on one of th local kabel radios here in vienna austria(radio orange f.m 94.0)ma show z called I.C.A.P(The International Center for African Perspectives)n being a Tanzanian am so proud havin this chance letin nem no smtin bot bongo flava n our music....@large..
    i cud send u a copy of ma show but do know how..(don havy mail so somthin)...will also soon come back to bong to collect som materials for ma sho n holidays too...hop will get some ideas from you pia....thanks alot..
    mfilingemfilinge@yahoo.com
    one

    ReplyDelete