Friday, May 28, 2010

50 Cent: GET SKINNY OR DIE TRYIN'......

Trust me this is 50 Cents baada ya kumlazimu kupunguza uzito kiasi cha kupoteza His look. Dude Cent anatarajiwa kucheza Movie itakayoitwa Things Fall Apart ambayo kaitunga mwenyeweeeeeeee, Movie inayohusu kijana anayesoma chuo mwenye Dream za kuwa Mwanasoka wa kimataifa, Then Dream zinayeyuka baada ya kupata ugonjwa wa Kansa.............. Daaaaaah His taking Acting just as Seriously as His Music............. Wabongo hii changamoto kwenu!!!!!!!
Daaaaaaaaaaaaaaah kwa mara ya kwanza utabishaaaaaaaaaaa but hii haina ubishi that is 50 Cent's New Look na pia suala zima la Tattooo sasa hakuna ............ safiiiiiiiiiiiiiiiiii
50 cents kasota kuhutoa mwili wake kama anavyoonekana hapo juu, can u Imagine amekuwa akitembea masaa ma3 kwenye treadmill kwa wiki 9 na kuishi kwa diet ya vimiminika (liquid diet).
Baadhi ya Movie amefanya ni Get Rich Or Die Tryin', Home Of The Brave, and Call Of Duty: Modern Warfare 2.

THAT IS 50!!!!!!!!!!!!! BRAVO

No comments:

Post a Comment