Wednesday, April 14, 2010

WAITING 4 THE MISS UNIVERSE 2010 FINAL ON 23rd....

As usual Top Model, Host wa Miss Universe 2010 Mario Mpingirwa akiwa katikati ya Warembo wawili ambao wote ni mamiss Universe , Illuminata James ambaye ndio anatarajia kukabidhi kwa mrithi atakaepatikana tarehe 23 April hii na mwenye red ni Flaviana Matata ama kweli matata aliyekua Miss Universe 2007............
Hapa ni baadhi ya warembo waliojitokeza pale Movenipick last friday kushiriki and last walipatikana warembo 7 wanaowakilisha D'salaam na 23rd watasimama kuchuana na warembo wengine kutoka mikoani................................      Hapo ndipo atapatikana    MISS UNIVERSE 2010......
The same day pale Movenpick Hotel hawa ndio waliplay as judges kutoka kushoto ni Illuminata James currently Miss Universe,Mario Mpingirwa as a Nation Host and Flaviana Matata Miss Universe 2007........
Kama kawa kamati ya judges wakipiga mzigo wa kuangalia nani anafaa kati ya walimbwende waliojitokeza pande hizo........ Ilikuwa si kazi ya kitoto kwani flowers walikua wote wakali mbaya....... 
Top Model kama nilivyozoea kumwita hapa akiwa job na mate wake Justin wakitafakari what to do ..... nway tufanye hivi tarehe 23 mwezi huu pale Mlimani City ndio final ya Miss Universe 2010.................. 
                                  So Don't Miss Banaaaaaaaa!!!!!


No comments:

Post a Comment