Tuesday, April 20, 2010

TUPO PAMOJA WHEN MEETS WAZEE WA COMBINATION SOUNDS.

Unapoizungumzia moja ya Studio zinazosababisha mbaya hapa bongo usipoitaja Combination Sounds basi wewe si mdau wa muziki... kwani wanagonga kila aina ya ngoma pale...... Tupo Pamoja ya Ttv ilitia timu maeneo hayo kwa kazi moja tu ya kuwafamisha funs wake yaliyojili....... hapo juu ni Prod Man Walter akiwa na Prod wa show Big Tommy.........
Hapo juu Mzee mzima Bro Kameta alipotukaribisha ofisin kwake maeneo ya kinondoni ,kama ukishukia studio we uliza hata mtoto mdogo atakuonyesha mahali Combination Sounds ilipo. Prod Kameta ndio mwalimu wa Man Walter toka enzi zile za Mr. Nice na TAKEU.... na hapo chini kama anavyoonekana kwenye picha alikua anatuonyesha maujanja zaidi.....

Baada ya kukaribishana kama hiviiiiiiiiii, mzigo ulipigwa mwanzo mwisho ambapo mengi tulizungumza,sana kuhusiana na kazi wanazofanya pamoja na muziki wetu kiujumla......... zaidi walizungumzia Project walizonazo kwa sasa na mambo mengine ka hayo............Hapo unamcheki Man Walter akiandaa gitaa hili mtu mzima nikaingize voko za kutosha Unabishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?? ka unabisha basi ka siku ya friday hivi time za saa 3 kamili fanya kuchungulia show hiyo Ttv......... na marudio saa 2 usiku the next day means j'mosi....................................
Man Walter ni producer mkali hiyo haina ubishi kwa hapa Bongo... unajua me naweza kumuona mtayarishaji ngoma wa kipekee sana hapa bongo kwani kila aina ya ngoma anagusa, mpk mnanda na mchiliku....... taarabu na hata Gospel si anatisha huyu jamaaaaaaaaaaaaaaa..........................
Etiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii me nae nikaingiza voko zangu!!!!!!!!!!!!!!!!!! ya kweli hayo? mmmmmmmmmmmh kama ni picha ya kuzuga basi majibu yatapatikana this Friday kwenye show ya kijanja TUPO PAMOJA... Pale Ttv
Baada ya shughuli nzito ya Enterview na kuingiza voko za hapa na pale daaaaa c ndo tukapiga pix ya pamoja na The Super Producer Man Walter kushow some LOVE...... Fanya hizi kasikilize ngoma ya kazi ya dukani ya Dogo Mfaume .....then soon kuna REMIX ya Steve wa R&B 1 luv ukisikia hizo ngoma kwa wakati mmoja utakubaliana nami kuwa Walter ANATISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

Show ilisimamiwa na Steering mwenyewe Arnie Gizzle kama unavyocheki hapo juu.Ikiongozwa na Producer B.I.G Tommy, Huku nyuma ya Camera alikuepo mtu mzima Junken Milli, The General bila kumsahau Dereva wetu Silva ....... Hiyo ndo ilikuwa crew nzima.. Dressed by FELIX SINZA CLASSIC WEAR pale sinza KIJIWENI..

No comments:

Post a Comment