Friday, April 16, 2010

SURE DUDU BAYA NI MAMBA!!!!!!

The Dudu a.k.a Mamba amefanya bonge la mtikisiko wa ajabu sana ndani ya Bongo...... Dudu The Mamba ameamua kuvunja ukimya kwa ujasili wa kipekee sana ambao hujawai kutokea kwenye historia ya muziki wa kizazi kipya...................... yataka Moyo kuweka mabmo hadharani kama hivi!

Sikia hii juzi kati npo kitaa nkaskiliza Bonge la Project kupitia East Africa Radio kwenye SuperMix ya Musa Hussein mida ya saa 5 hivi........ sikuamini masikio yangu at that time! ikanibidi nim2pie simu mwana alipoiokota tu! moja kwa moja nikaomba Interview nae hili nipate undani wa hiyo Project.......................... thru 4ne aliyoniambia ni zaidi ya niliyosikia humo ndani!...................... So tukapanga appointment me na crew yangu ya Tupo Pamoja tukamtimbia maskani yake kwa mpango mzim wa kupiga show............................Ikapigwa bonge la show pale mjengoni kwake ambapo next week on friday kama kawa tutasanuka nalo kupitia Tumaini Tv (Ttv) mida ya saa 3 usiku....... Then wadau wa mbali na Ttv nitawadondoshea mafull PIX tuliyotake kwenye mjengo wa The Dudu ni Mamba, a Promotion Manager wa Art in Tanzania.............. THAT PROJECT imetoa siri za nyuma ya pazia kuhusiana na Musiki wetu na mafisadi wake!!! Dudu kajitoa muhanga kwa faida ya wasanii wote ambao wanalia kilio cha maji bila msaada........ sina budi kumwita MWANAHARAKATI WA BONGO FLEVA .... That is the Beginning of NGURUWE PROJECT......................... Next time ntakufafanulia maana na undani wake kama ujapata bahati ya kusanuka nayo coz wanatoa bure kitaani........ kama vipi nitafute ntafanya hivyo kwako.. tufanye kuchekiana NEXT EPISODE SOON..../

DUDU BAYA NI MAMBA NI WA KUIGWA ...BRO 2PO PA1..... HII NI PART I, THEN WHO IS NEXT??????????????????????????No comments:

Post a Comment