Friday, April 30, 2010

THE NEW BRAND TV SHOW FROM Ttv..... ILIYOKUGUSA!!

Time imefika iliyokua ikisubiriwa hamu na shauku kubwa sana na mashabiki wa Gospel hapa bongo... very soon namanisha this Sunday wadau watajibiwa kile walichokua wakiomba na kukisubulia kwa hamu kubwa..... Namanisha vichwa viwili adimu toka hapa Tumaini tv wanadondoka na show mpya !!! Kama unavyomcheck hapo juu ni mtu mzima Joachim Kapembe (KP) Ambaye pia ni PM wa Ttv......... Sambamba na Samson Tibba a.k.a The Gen. kama unavyomchek hapo chini.....
Show itasimama kwa jina la ILIYOKUGUSA ... Show ya masaa mawili kuanzia saa 7:00 mpk 9:00 alasili ambayo itakuwa inakutanisha makundi mawili au mwimbaji mmoja mmoja wa muziki wa injili na mwisho wa siku inakuhusu wewe mtazamaji kwa kutuma msg na kutoa hisia zako kati ya wale waliokutanishwa kwa siku hiyo ni nani kakugusa kwa namna moja au nyingine?
 
UNANGOJA NINI ? DON'T MISS THE SHOW THIS SUNDAY @1PM ONLY ON Ttv!

No comments:

Post a Comment