Thursday, April 8, 2010

MISS UNIVERSE TANZANIA IS BACK 2010

Hapo juu ni The Dream Team ya Miss Universe 2010.. Kushoto Nation Director Maria Sarungi Tsehai, Mario-Mohammed Mpingirwa (Nation Host) na Miss Universe 2009 Illuminate James wakiwa tayari kucheki nani atamrithi kwa mwaka 2010?..

Hapa ni Mario akiwa na Miss Universe 2009  Illuminate James wakiwa tayari kupiga mzigo..... Je wewe ni mrembo unajiamini?..sasa wakati ni wako,nenda kesho pale Movenpick Hotel saa nne asubuhi kwa ajili ya kufanyiwa usahili wa kurithi Illuminate taji la urembo la Miss Universe 2010....... . .  . . . . 
Huyu ni the fomous Mario , binafsi napenda kumwita Top Model in Tz.. Nimepata fanya nae kazi kibao sana , so i knw him better and now i used to call him a Bro frm another Mama.. 2moro atakuepo kwenye usahili kama Host wa show kwani watachukua matukio yote mpk final ya 23rd this month...... then soon 2tacheck show kupitia TBC1
THE FINAL EVENT WILL BE ON 23rd AT MLIMANI CITY CONFERENCE CENTRE . . . . . kama kawa  ka dawa Mario a.k.a Top model ndio atakua Host wa show hiyo ambapo itarushwa live TBC1 . . . . . . So dn't Miss the show funs wote!! . . . . .
 Nakumbushia tena dada zangu KUANZIA SAA 4 asubuhi pale Movenpick Hotel,The Dream Team ya MISS UNIVERSE ITAKUWEPO HAPO KUMALIZIA MCHAKATO WA KUWATAFUTA WASHIRIKI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2010.   
           Changamkieni deal wadada!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment