Friday, April 2, 2010

MADEE KUACHIA NGOMA YA PENDO SOON.

       Presedaaa wa Manzese a.k.a Madee anategemea kuachia ngoma yake mpya j,mosi hii  aliyomwimbia aliyekua mchumba wake wa zamani PENDO. Ngoma ambayo imepikwa pale ktk studio za Tongwa Rec na producer J.Murder ....... Humo ndani jamaa kampatia shavu mzee wa Taxi bubu Matonya ....

   Ngoma itakayo kwenda kwa jina la Pendo maususi kwa kumuenzi kipenzi chake wa zamani. Pendo arifariki Dunia ktk ajali ya basi hv makaribuni..... R.I.P PENDO!!!!

1 comment:

  1. HATUTAKI,
    FAMILIA HAITAKI.................

    ReplyDelete