Tuesday, April 6, 2010

HAPPY BIRTHDAY BRO MIPAX..

Hakuna kitu kizuri duniani kama kuwa na watu wanaokujali, kukupenda na kukuthamini wakati wote wa shida na raha ..... MARC MIPAWA MGEJA ni moja ya watu wanaofanya hivyo. Nikisema nimuelezee ka nitajaza ukurasa. Bro many happy return of the day . Mungu akupe maisha marefu ufanikiwe ndoto zako 2010.....Umeletwa hapa Duniani with PURPOSE, so findout why a u here then wakeup and do something 4 ur life. you CAN DO IT MIPAX when u believe it. HAPPY B.DAY BRO.... I LOVE U

No comments:

Post a Comment