Friday, April 9, 2010

GET READY 4 THE EXPLOSION MIX TAPE FRM FISHCRUB YA LAMAR.

Ni Producer mdogo anaewanyima usingizi big producers wa Bongo , Anafamika kwa jina la LAMAR kutoka Studio za Fishcrub yupo katika harakati za Project moja kali sana ya kudondoka na MIX TAPE itakayo kwenda kwa jina la MAMBA........ 
Kwa mujibu wa LAMAR ambaye nimechonga nae this noon, anasema ktk Project hiyo ya Mamba  ambayo atawaleta Artist kibao wa Bongo Fleva kwa Pamoja na kutengeneza Bonge la MIX TAPE...... So funs u knw what 2 do?? Get Ready 4 that...
LAMAR, Lord Eyez n' Ray C wakibang kwenye Bataz somewhere in Town..... Mpango mzima mshikaji ktk Game yupo juu mwanzo mwisho....... Just check list mbalimbali za Radio Station Hapa Bongo kati ya ngoma 5 zinazogongwa 2 ka si 3 utasikia FISHCRUB COOK OUT!!!!!!!!!!!!!!! Unabishaaaaaaaaaaaaaaaaa???????
Naamini Bongo tuna Producers kibao na wanafanya kazi nzuri sana....Pia wana mchango mkubwa ktk kukuza Muziki wetu huu wa Bongo Fleva, safi sana!!!!! But kwa mwaka huu wa 2010 LAMAR anasitahili pongezi kwa mzigo anaopiga........  4 THAT...

Vote 4 LAMAR Kilimanjaro Music Awards As a PRODUCER Of the Year.. Andika neno S42 Tuma kwenda namba 15723.... Au unaweza Vote kupitia www.kilitime.co.tz/awards  !!!

  PLZ FUNS WE NEED UR VOTES........ SUPPORT HIM 4 2010

No comments:

Post a Comment