Monday, April 19, 2010

AFTER NGURUWE PROJECT TUPO PAMOJA YAMTIMBIA DUDU BAYA

Baada ya project nzima ya Nguruwe kuhusu ufisadi wa ma-Dj na Ma-Presenter wa Radio mbalimbali hapa Bongo kuua muziki wetu wa kizazi kipya...... Tupo Pamoja ya Ttv ilitia maguu masikani ya mtu mzima Dudu Baya a.k.a Mamba....... Na hapo juu Junkeni Milli akiandaa camera tayari kwa kupiga mzigo....................
Bila kubisha wali nini The General akifanya white balance tayari kwa kupiga mzigo. kamawewe ni funs wa hii blog hope unamkumbuka The Gen..... nway mzigo kama kawa...............
Daaaaaaaaaaaaaaah Producer akimwambia Dudu kutoa kijasho hivi hili pix zing'aee si unajua tena watu wenye mafuta yao............... Ndio kwanza segment ya kwanza ya side A inataka kuanzaaaaaa,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Hapa ni mwendo wa Camera, lights & Action then mtu mzima Arnie Gizzle napiga mzigo.................... huku kwetu hakuna mambo ya cut au take 2,3,4 ni mwanzo mwisho kazi na dawa...................
Sam The Gen. ni mkali wa shots mpaka za usoni ukilemaa unaweza kushutukia Camera mdomoni kwako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ukimuliza anakwambia I'm Professional .......... me sisemi bwana...............
Nachompendea Producer wangu Big Tommy, yupo makini sana na suala zima la show..... hapo anakuwa mkali ka mbogo ukileta mchezo akawii kukutupia tusiiiiiiii la nguoni............... Nway anajua kazi na wajibu wake......... Hapo ka anatoa maelezo na aina gani ya shots anataka.

The Dudu a.k.a Mamba akisisitiza jambo kwa msisitizo juu ya manguruwe wanaoharibu muziki wetu kwa tamaa na maslahi yao binafsi kwa kuendekeza Rushwa na ubepari katika media zetu......................... Bonge la Documentary mzazi nilikwambia nitafute nikupe copy ukasikilize home ka ujapata kuisikia katika Radio mbalimbali za hapa BOngo.......
As i told u Prod. huyu hawezi tulia mpk ahakikikshe mzigo umekwisha salama. hapa ka unavyoona kipindi show inaendelea yeye anampatia The Gen. maelezo fulani pia akiangalia shots anazochukua................
Ikafika mwisho wa show na tukapata nafasi ya kupiga pix kwa kushow some LUV na The Dudu a.k.a Mamba,.............. kumbe hata mie mapozi yamo eeeeeeeeeeeeeeh?????????????
So Decent guy eeeeeeeeeeeh? Hapo ni The Gen. na The Dudu wakishow some Love baada ya mzigo kwisha..............
Arnie Gizzle unamjua au unamfahamu? ndio yule paleeeeeeeeeeeee mbele ya hizo kamera tayari kwa kufungua show............ Hapo ni masikani ya mzee mzima Mamba au The Dudu....
Crew nzima ya Tupo Pamoja wakiwa wanabadilishana mawazo na mwenyeji wao The Dudu . Kutoka kushoto ni Prod. Big Tommy, The Dudu mwenyewe, The Gen. Sam Tibba, Silver na Bro. Junken Milli....................

Baada ya side A kumalizika tukajisogeza toka kunduchi kwa The Dudu mpk pande za kinondoni ktk Studio za Combination Sounds kumalizia Side B... hili tuikamilishe Show yetu 4 this week on Friday @ 9pm ONLY ON Ttv..........

Usikose!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment