Friday, April 30, 2010

THE NEW BRAND TV SHOW FROM Ttv..... ILIYOKUGUSA!!

Time imefika iliyokua ikisubiriwa hamu na shauku kubwa sana na mashabiki wa Gospel hapa bongo... very soon namanisha this Sunday wadau watajibiwa kile walichokua wakiomba na kukisubulia kwa hamu kubwa..... Namanisha vichwa viwili adimu toka hapa Tumaini tv wanadondoka na show mpya !!! Kama unavyomcheck hapo juu ni mtu mzima Joachim Kapembe (KP) Ambaye pia ni PM wa Ttv......... Sambamba na Samson Tibba a.k.a The Gen. kama unavyomchek hapo chini.....
Show itasimama kwa jina la ILIYOKUGUSA ... Show ya masaa mawili kuanzia saa 7:00 mpk 9:00 alasili ambayo itakuwa inakutanisha makundi mawili au mwimbaji mmoja mmoja wa muziki wa injili na mwisho wa siku inakuhusu wewe mtazamaji kwa kutuma msg na kutoa hisia zako kati ya wale waliokutanishwa kwa siku hiyo ni nani kakugusa kwa namna moja au nyingine?
 
UNANGOJA NINI ? DON'T MISS THE SHOW THIS SUNDAY @1PM ONLY ON Ttv!

Thursday, April 22, 2010

NGURUWE PART II. IPO KITAA

Mamba Dudu Baya kweli ni Dudu tena Dudu mla watu, Nguruwe Project part 11 sasa ipo mtaan na mdau nimedondoshewa jana asubuhi ofisin kwangu, pia nikaituma Iringa pale Ebony Fm kwa mwanangu (mfanyakazi mwenzangu) mnyamwezi Eddo wa The splash show hili awashibishe wadau na wanaharakati wenzetu ambao sio manguruwe

Humo ndani kunatisha, Kawachana live bila chenga mameneja wa wasanii hasa pale alipogusia kuhusiana na suala labaadhi ya wasanii waliokua TIP TOP Connection walivyozimwa kama taa hasa MB Dog na Albamu ya Latifah, Pia waliozimwa kabisa kama taa ni Z-Anto, Spark, Pingu na Desso..............................

Hakuishia hapo, zaidi aliponda show fake za bongo, zinazoandaliwa na baadhi ya Radio zinazowakumbatia manguruwe ....... Na kwa msisitizo katumia mstari uliyopo kwenye ngoma ya stimu zimelipiwa ya Mwamba wa kaskazini JOH Makini unaosema DAI PESA, UZIMWE KAMA TAA........................
Mbaya zaidi ni pale alipomfananisha Ney wa mitego kama mwanamke Malaya aneongwa gari bila kadi yake..... Hapo Dudu anasema manguruwe walimtumia Ney kama mamuluki kuwasagia wasanii ikiwa ni moja ya mikakati ya manguruwe hao kuwakandamiza wanaharakati waukweli kama P-Funky Majani hili wawanyanyue wakwao.........Lakini baada ya ngoma yake kupewa promo ya kutosha kwa maslahi yao (manguruwe) wakampiga Ney kibuti, akaongeza kwa kusema Ney ana zaidi ya ngoma mpya 3 lakini no AIR............

Dudu kazungumza mengi na kwa upana zaidi.... Naweza jaza ukurasa ,so fanya kuitafuta part 11 au sikiliza baadhi ya Radio wanaiendeleza...... kwenye hiyo Revolution nipo nyuma yako DUDU THE MAMBA!!!!!!!!!!!!!

ZAIDI WATCH 2PO PA1 SHOW KESHO SAA 3 usiku ON Ttv

Wednesday, April 21, 2010

R.I.P GURU OF GANG STARR .

Anafahamika kama Keith Elam kwa jina la wazazi lakini wengi tulimfahamu kama GURU ambaye pia ni mwanzilishi wa kundi la Rap lililotamba kuanzia miaka ya 80 maarufu kama GANG STARR.... Leo hii hatunae tena duniani.

Ni tarehe 19 ya this April namanisha j3 ya wiki hii Vyombo vya Habari na mitandao mbalimbali ulimwenguni iliandika kuhusiana na kifo cha 1 of the best MC's and Hip Hop Icon of all-time.... GURU amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 43 na Amekufa kwa ugojwa wa cancer.......

Kama kawa binadamu yoyote anapofariki nyuma anaacha mengi ya kuzungumziwa kwa ndg, jamaa na marafiki kama ilivyokua kwa GURU....... Na mmoja kati ya watu waliokua karibu nae kwa kipindi chote cha ugonjwa na ni Producer ambaye pia amefanya nae kazi kibao. Anafahamika kama Producer SOLAR..... Baada ya kifo cha GURU prod. Solar alitoa hii statement kwenye media:-

The world has lost one of the best MCs and hip-hop icons of all-time — my loyal best friend, partner, and brother, Guru,” he said. “Guru has been battling cancer for well over a year and has lost his battle! This is a matter that Guru wanted private until he could beat it, but tragically, this did not happen. The cancer took him. Now the world has lost a great man and a true genius.

Pia b4 GURU hajafariki aliandika barua kwa marafiki pamoja na Fans wake wote, si mbaya kama mdau wa Hip Hop na mwingine yule ukiisoma hii note:-

I have a non-profit organization called Each One Counts dedicated to carrying on my charitable work on behalf of abused and disadvantaged children from around the world and also to educate and research a cure for this terrible disease that took my life. I write this with tears in my eyes, not of sorrow but of joy for what a wonderful life I have enjoyed and how many great people I have had the pleasure of meeting.

“My loyal best friend, partner and brother, Solar, has been at my side through it all and has been made my health proxy by myself on all matters relating to myself. He has been with me by my side on my many hospital stays, operations, doctors visits and stayed with me at my home and cared for me when I could not care for myself. Solar and his family is my family and I love them dearly and I expect my family, friends, and fans to respect that, regardless to anybody’s feelings on the matter. It is my wish that counts. This being said I am survived by the love of my life, my sun KC, who I trust will be looked after by Solar and his family as their own. Any awards or tributes should be accepted, organized approved by Solar on behalf [of] myself and my son until he is of age to except on his own.”


May His soul rest in peace. AMEN!!!!!

Tuesday, April 20, 2010

TUPO PAMOJA WHEN MEETS WAZEE WA COMBINATION SOUNDS.

Unapoizungumzia moja ya Studio zinazosababisha mbaya hapa bongo usipoitaja Combination Sounds basi wewe si mdau wa muziki... kwani wanagonga kila aina ya ngoma pale...... Tupo Pamoja ya Ttv ilitia timu maeneo hayo kwa kazi moja tu ya kuwafamisha funs wake yaliyojili....... hapo juu ni Prod Man Walter akiwa na Prod wa show Big Tommy.........
Hapo juu Mzee mzima Bro Kameta alipotukaribisha ofisin kwake maeneo ya kinondoni ,kama ukishukia studio we uliza hata mtoto mdogo atakuonyesha mahali Combination Sounds ilipo. Prod Kameta ndio mwalimu wa Man Walter toka enzi zile za Mr. Nice na TAKEU.... na hapo chini kama anavyoonekana kwenye picha alikua anatuonyesha maujanja zaidi.....

Baada ya kukaribishana kama hiviiiiiiiiii, mzigo ulipigwa mwanzo mwisho ambapo mengi tulizungumza,sana kuhusiana na kazi wanazofanya pamoja na muziki wetu kiujumla......... zaidi walizungumzia Project walizonazo kwa sasa na mambo mengine ka hayo............Hapo unamcheki Man Walter akiandaa gitaa hili mtu mzima nikaingize voko za kutosha Unabishaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa?? ka unabisha basi ka siku ya friday hivi time za saa 3 kamili fanya kuchungulia show hiyo Ttv......... na marudio saa 2 usiku the next day means j'mosi....................................
Man Walter ni producer mkali hiyo haina ubishi kwa hapa Bongo... unajua me naweza kumuona mtayarishaji ngoma wa kipekee sana hapa bongo kwani kila aina ya ngoma anagusa, mpk mnanda na mchiliku....... taarabu na hata Gospel si anatisha huyu jamaaaaaaaaaaaaaaa..........................
Etiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii me nae nikaingiza voko zangu!!!!!!!!!!!!!!!!!! ya kweli hayo? mmmmmmmmmmmh kama ni picha ya kuzuga basi majibu yatapatikana this Friday kwenye show ya kijanja TUPO PAMOJA... Pale Ttv
Baada ya shughuli nzito ya Enterview na kuingiza voko za hapa na pale daaaaa c ndo tukapiga pix ya pamoja na The Super Producer Man Walter kushow some LOVE...... Fanya hizi kasikilize ngoma ya kazi ya dukani ya Dogo Mfaume .....then soon kuna REMIX ya Steve wa R&B 1 luv ukisikia hizo ngoma kwa wakati mmoja utakubaliana nami kuwa Walter ANATISHAAAAAAAAAAAAAAAAAAA

Show ilisimamiwa na Steering mwenyewe Arnie Gizzle kama unavyocheki hapo juu.Ikiongozwa na Producer B.I.G Tommy, Huku nyuma ya Camera alikuepo mtu mzima Junken Milli, The General bila kumsahau Dereva wetu Silva ....... Hiyo ndo ilikuwa crew nzima.. Dressed by FELIX SINZA CLASSIC WEAR pale sinza KIJIWENI..

Monday, April 19, 2010

AFTER NGURUWE PROJECT TUPO PAMOJA YAMTIMBIA DUDU BAYA

Baada ya project nzima ya Nguruwe kuhusu ufisadi wa ma-Dj na Ma-Presenter wa Radio mbalimbali hapa Bongo kuua muziki wetu wa kizazi kipya...... Tupo Pamoja ya Ttv ilitia maguu masikani ya mtu mzima Dudu Baya a.k.a Mamba....... Na hapo juu Junkeni Milli akiandaa camera tayari kwa kupiga mzigo....................
Bila kubisha wali nini The General akifanya white balance tayari kwa kupiga mzigo. kamawewe ni funs wa hii blog hope unamkumbuka The Gen..... nway mzigo kama kawa...............
Daaaaaaaaaaaaaaah Producer akimwambia Dudu kutoa kijasho hivi hili pix zing'aee si unajua tena watu wenye mafuta yao............... Ndio kwanza segment ya kwanza ya side A inataka kuanzaaaaaa,,,,,,,,,,,,,,,,,,
Hapa ni mwendo wa Camera, lights & Action then mtu mzima Arnie Gizzle napiga mzigo.................... huku kwetu hakuna mambo ya cut au take 2,3,4 ni mwanzo mwisho kazi na dawa...................
Sam The Gen. ni mkali wa shots mpaka za usoni ukilemaa unaweza kushutukia Camera mdomoni kwako!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! ukimuliza anakwambia I'm Professional .......... me sisemi bwana...............
Nachompendea Producer wangu Big Tommy, yupo makini sana na suala zima la show..... hapo anakuwa mkali ka mbogo ukileta mchezo akawii kukutupia tusiiiiiiii la nguoni............... Nway anajua kazi na wajibu wake......... Hapo ka anatoa maelezo na aina gani ya shots anataka.

The Dudu a.k.a Mamba akisisitiza jambo kwa msisitizo juu ya manguruwe wanaoharibu muziki wetu kwa tamaa na maslahi yao binafsi kwa kuendekeza Rushwa na ubepari katika media zetu......................... Bonge la Documentary mzazi nilikwambia nitafute nikupe copy ukasikilize home ka ujapata kuisikia katika Radio mbalimbali za hapa BOngo.......
As i told u Prod. huyu hawezi tulia mpk ahakikikshe mzigo umekwisha salama. hapa ka unavyoona kipindi show inaendelea yeye anampatia The Gen. maelezo fulani pia akiangalia shots anazochukua................
Ikafika mwisho wa show na tukapata nafasi ya kupiga pix kwa kushow some LUV na The Dudu a.k.a Mamba,.............. kumbe hata mie mapozi yamo eeeeeeeeeeeeeeh?????????????
So Decent guy eeeeeeeeeeeh? Hapo ni The Gen. na The Dudu wakishow some Love baada ya mzigo kwisha..............
Arnie Gizzle unamjua au unamfahamu? ndio yule paleeeeeeeeeeeee mbele ya hizo kamera tayari kwa kufungua show............ Hapo ni masikani ya mzee mzima Mamba au The Dudu....
Crew nzima ya Tupo Pamoja wakiwa wanabadilishana mawazo na mwenyeji wao The Dudu . Kutoka kushoto ni Prod. Big Tommy, The Dudu mwenyewe, The Gen. Sam Tibba, Silver na Bro. Junken Milli....................

Baada ya side A kumalizika tukajisogeza toka kunduchi kwa The Dudu mpk pande za kinondoni ktk Studio za Combination Sounds kumalizia Side B... hili tuikamilishe Show yetu 4 this week on Friday @ 9pm ONLY ON Ttv..........

Usikose!!!!!!!!!!!!!!!

Friday, April 16, 2010

SURE DUDU BAYA NI MAMBA!!!!!!

The Dudu a.k.a Mamba amefanya bonge la mtikisiko wa ajabu sana ndani ya Bongo...... Dudu The Mamba ameamua kuvunja ukimya kwa ujasili wa kipekee sana ambao hujawai kutokea kwenye historia ya muziki wa kizazi kipya...................... yataka Moyo kuweka mabmo hadharani kama hivi!

Sikia hii juzi kati npo kitaa nkaskiliza Bonge la Project kupitia East Africa Radio kwenye SuperMix ya Musa Hussein mida ya saa 5 hivi........ sikuamini masikio yangu at that time! ikanibidi nim2pie simu mwana alipoiokota tu! moja kwa moja nikaomba Interview nae hili nipate undani wa hiyo Project.......................... thru 4ne aliyoniambia ni zaidi ya niliyosikia humo ndani!...................... So tukapanga appointment me na crew yangu ya Tupo Pamoja tukamtimbia maskani yake kwa mpango mzim wa kupiga show............................Ikapigwa bonge la show pale mjengoni kwake ambapo next week on friday kama kawa tutasanuka nalo kupitia Tumaini Tv (Ttv) mida ya saa 3 usiku....... Then wadau wa mbali na Ttv nitawadondoshea mafull PIX tuliyotake kwenye mjengo wa The Dudu ni Mamba, a Promotion Manager wa Art in Tanzania.............. THAT PROJECT imetoa siri za nyuma ya pazia kuhusiana na Musiki wetu na mafisadi wake!!! Dudu kajitoa muhanga kwa faida ya wasanii wote ambao wanalia kilio cha maji bila msaada........ sina budi kumwita MWANAHARAKATI WA BONGO FLEVA .... That is the Beginning of NGURUWE PROJECT......................... Next time ntakufafanulia maana na undani wake kama ujapata bahati ya kusanuka nayo coz wanatoa bure kitaani........ kama vipi nitafute ntafanya hivyo kwako.. tufanye kuchekiana NEXT EPISODE SOON..../

DUDU BAYA NI MAMBA NI WA KUIGWA ...BRO 2PO PA1..... HII NI PART I, THEN WHO IS NEXT??????????????????????????Wednesday, April 14, 2010

WAITING 4 THE MISS UNIVERSE 2010 FINAL ON 23rd....

As usual Top Model, Host wa Miss Universe 2010 Mario Mpingirwa akiwa katikati ya Warembo wawili ambao wote ni mamiss Universe , Illuminata James ambaye ndio anatarajia kukabidhi kwa mrithi atakaepatikana tarehe 23 April hii na mwenye red ni Flaviana Matata ama kweli matata aliyekua Miss Universe 2007............
Hapa ni baadhi ya warembo waliojitokeza pale Movenipick last friday kushiriki and last walipatikana warembo 7 wanaowakilisha D'salaam na 23rd watasimama kuchuana na warembo wengine kutoka mikoani................................      Hapo ndipo atapatikana    MISS UNIVERSE 2010......
The same day pale Movenpick Hotel hawa ndio waliplay as judges kutoka kushoto ni Illuminata James currently Miss Universe,Mario Mpingirwa as a Nation Host and Flaviana Matata Miss Universe 2007........
Kama kawa kamati ya judges wakipiga mzigo wa kuangalia nani anafaa kati ya walimbwende waliojitokeza pande hizo........ Ilikuwa si kazi ya kitoto kwani flowers walikua wote wakali mbaya....... 
Top Model kama nilivyozoea kumwita hapa akiwa job na mate wake Justin wakitafakari what to do ..... nway tufanye hivi tarehe 23 mwezi huu pale Mlimani City ndio final ya Miss Universe 2010.................. 
                                  So Don't Miss Banaaaaaaaa!!!!!


Tuesday, April 13, 2010

THE GENERAL IS BACK AGAIN.......????

Who is General by the way? Anafanya nini ? wapi na vipi? kumjua jamaa zaidi fanya kuendelea kuchungulia hapa hapa soon ntakudondoshea Profile yke officially na kaa mkao wa kuiokota mwenyewe....
Ni moja ya multitalented dude ambaye nilikutana nae mwaka jana coz ni moja ya watu wanaotoa shavu kubwa sana kwenye show ya ukweli ya TUPO PAMOJA ..Ttv....

SO SOON NTAKUMWAGIA ANAFANYA NINI ZAIDI!!!!

Monday, April 12, 2010

THE BRAND NEW TMK HALISI....... BY SIR NATURE.


Kundi la TMK HALISI limesign mkataba na kampun inayoitwa DLC ambayo inafanya biashara zake China na Tanzania, kampuni hii ambayo yenyewe ndo itasimamia kila ki2 ikiwemo mambo ya promotion kutafuta shows za nje na ndani ya nchi pia kusimamia mauzo ya kila kitu. 
Juma alipata wakati mgumu kuchuja na kuchagua vichwa vinne atakavyo fanya navyo kazi ya kuunda TMK Halisi mpya na ye awe wa 5. badala ya halis iliyokuwa na watu 12.
Walio chaguliwa kusign mkataba huo ni 

                                       1 DOLO 
                                       2 BABA LEVO 
                                        3 JB WA MABAGA FRESH 
                                        4 KG SON 
                                        5 Juma Nature mwenyewe. 
kwa sasa kundi limesha fanyika kazi inayoitwa
MNATAKAJE? ambayo imeanza kusambazwa redioni..... 

                INFO Imepatikana kwa www.djchoka.blogspot.com

Friday, April 9, 2010

GET READY 4 THE EXPLOSION MIX TAPE FRM FISHCRUB YA LAMAR.

Ni Producer mdogo anaewanyima usingizi big producers wa Bongo , Anafamika kwa jina la LAMAR kutoka Studio za Fishcrub yupo katika harakati za Project moja kali sana ya kudondoka na MIX TAPE itakayo kwenda kwa jina la MAMBA........ 
Kwa mujibu wa LAMAR ambaye nimechonga nae this noon, anasema ktk Project hiyo ya Mamba  ambayo atawaleta Artist kibao wa Bongo Fleva kwa Pamoja na kutengeneza Bonge la MIX TAPE...... So funs u knw what 2 do?? Get Ready 4 that...
LAMAR, Lord Eyez n' Ray C wakibang kwenye Bataz somewhere in Town..... Mpango mzima mshikaji ktk Game yupo juu mwanzo mwisho....... Just check list mbalimbali za Radio Station Hapa Bongo kati ya ngoma 5 zinazogongwa 2 ka si 3 utasikia FISHCRUB COOK OUT!!!!!!!!!!!!!!! Unabishaaaaaaaaaaaaaaaaa???????
Naamini Bongo tuna Producers kibao na wanafanya kazi nzuri sana....Pia wana mchango mkubwa ktk kukuza Muziki wetu huu wa Bongo Fleva, safi sana!!!!! But kwa mwaka huu wa 2010 LAMAR anasitahili pongezi kwa mzigo anaopiga........  4 THAT...

Vote 4 LAMAR Kilimanjaro Music Awards As a PRODUCER Of the Year.. Andika neno S42 Tuma kwenda namba 15723.... Au unaweza Vote kupitia www.kilitime.co.tz/awards  !!!

  PLZ FUNS WE NEED UR VOTES........ SUPPORT HIM 4 2010

Thursday, April 8, 2010

MISS UNIVERSE TANZANIA IS BACK 2010

Hapo juu ni The Dream Team ya Miss Universe 2010.. Kushoto Nation Director Maria Sarungi Tsehai, Mario-Mohammed Mpingirwa (Nation Host) na Miss Universe 2009 Illuminate James wakiwa tayari kucheki nani atamrithi kwa mwaka 2010?..

Hapa ni Mario akiwa na Miss Universe 2009  Illuminate James wakiwa tayari kupiga mzigo..... Je wewe ni mrembo unajiamini?..sasa wakati ni wako,nenda kesho pale Movenpick Hotel saa nne asubuhi kwa ajili ya kufanyiwa usahili wa kurithi Illuminate taji la urembo la Miss Universe 2010....... . .  . . . . 
Huyu ni the fomous Mario , binafsi napenda kumwita Top Model in Tz.. Nimepata fanya nae kazi kibao sana , so i knw him better and now i used to call him a Bro frm another Mama.. 2moro atakuepo kwenye usahili kama Host wa show kwani watachukua matukio yote mpk final ya 23rd this month...... then soon 2tacheck show kupitia TBC1
THE FINAL EVENT WILL BE ON 23rd AT MLIMANI CITY CONFERENCE CENTRE . . . . . kama kawa  ka dawa Mario a.k.a Top model ndio atakua Host wa show hiyo ambapo itarushwa live TBC1 . . . . . . So dn't Miss the show funs wote!! . . . . .
 Nakumbushia tena dada zangu KUANZIA SAA 4 asubuhi pale Movenpick Hotel,The Dream Team ya MISS UNIVERSE ITAKUWEPO HAPO KUMALIZIA MCHAKATO WA KUWATAFUTA WASHIRIKI WA MISS UNIVERSE TANZANIA 2010.   
           Changamkieni deal wadada!!!!!!!!!!!!!!!