Tuesday, March 23, 2010

YAKUZZA MOB , BIG TIME IN THIS GAME...,

MWANZONI....... 1999 muda ambao Bongofleva inaanza kukubalika maskioni mwa wadau wengi mpk leo 2010 they still in da game ...Unapacheki hapo? Parefu sn eeeeeh?. Nway wanafahamika kama YAKUZZA MOB wazee wa Makopa Inc

Baada ya mpango mzima wa HUJAMJUA na ngoma yao nyingine ya USIOGOPE soon watadondosha track yao mpya ya ASIDI WA ROHO  ilio tayari upade wa Audio iliyopikwa Mombasa Kenya ktk Studio za SQ RECORD na bwana mdogo SHRIKO (zamani alikua TEDD RECORDS ZA ZNZ) ambapo wanasubiria kukamilisha suala zima la Video pale kwa mtu mzima Adamu wa VISUAL LB hili mpango mzima uende sawa.........   So kipindi wapo kwenye foleni ya kuwait da Video wameamua kutoa Bonus Track kwa mafans wao itakoyokwenda kwa jina la MUNNY MA......

Hapa ni One of the member wa Yakuzza Mob Jeffy G, akiwa na Banana Zorro mzee wa B. Band.
Zaidi ni washikaji wanaofanya kazi kwa krb sana na MB Dogg na kwa pamoja wanawakilisha MAKOPA INC. Ni brand ya ukweli sana ambayo inadili na issue kibao za Entertainment kuanzia kuandaa mashoo, stage arrangement, n.k but muhimu sana unaona hizo t-shirt walizovaa hapo juu pia wanausika sn, na mzigo unatoka OMAN ambapo ndipo uzitengenezea.......... kama vipi ukihitaji mzigo hili na wewe upendeze check nao kupitia namba zao hapo chini.....
  
So zaidi ya muziki wana issue nyingi zinazo waweka bize muda wote ikiwa ni pamoja na kulijenga Taifa letu...... kuhusiana na suala la Albamu? Wapo ktk mlolongo wa wasanii wasioamini ka Albam inalipa kutokana na maslahi madogo ktk GAME... wana ngoma nyingi sn za kujaaa pipa but moja moja kwao ndo mpango mpk hapo mambo yatakapo wekwa sawa....... Harakati za UKOMBOZI wa BONGOFLEVA bado zinaendelea na wao ni moja  ya wanaharakati wa Ukombozi huu...
Mweye mawani hapo juu ni MBWANA a.k.a Mbuzi ukitaka mpata check nae kupitia +255 713 180343  na alieinama ni JEFFY a.k.a ...... Kondoo? Bt usiniulize y mbuzi na kondoo plz..Mcheck kupitia namba+255 715 939212 afu tuoneeeeee!!!!!!!!!!!  Kwa pamoja wanawakilisha        YAKUZZA MOB.... 4EVA!!!!!!!!!!!!

4 MORE INFO ZINAZOWAHUSU ENDELEA KUCHECK MY BLOG!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment