Monday, March 29, 2010

VUJA JASHO YA DR. O ON AIR.

J'mos ktk Bongo Fleva ya Cloudsfm na mwanadashoti Feeee a.k.a DJ Fetty ngoma mpya na kali ya mwanaharakati Michael Yongo a.k.a Dr. O inayokwenda kwa jina la VUJA JASHO ilitambulisha Rasmi......  na kuanzia hapo mpango mzima tutaendelea kuisikiliza ktk vituo mbalimbali vya Radio...
Ni track ambayo imepikwa na Producer matata, hapa namzungumzia mtata Mako Chalii kutoka  pale kwenye chata la Mj Records.
Hili harakati ziendelee jamaa anaitaji support yako we fans wa Hip Hop na Muziki wetu kiujumla kwa kusikiliza ngoma, kuomba kwenye reqst za Radio mbalimbali n.k...
ZAIDI THNX 4 SUPPORT NA TEGEMEA TRACK KIBAOOO TOKA KWA DR. O MKALI WA FREESTYLE ...........          ONE LOVE!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment