Monday, March 29, 2010

UNAWASOMA PRETTY BOYZ WANAVYO BANG TOWN?????

Ni makachaa wawili, hapa namzungumzia Cnda King na Raheem Da Prince  yoooooo.. kwa pamoja wanawakilisha PRETTY BOYZ. Na hapo ni last wk nilipopiga nao interview kwenye show ya ukweli 2po Pamoja ya Ttv..... kama ulimiss fanya kunitafuta  hiviiiii nikupe copy coz da show was so HOT.....
Huyu ni RAHEEM DA PRINCE one of the member wa Pretty Boyz... anashine lyke a Star.... He can transform u kwenye swagger 2........
Hapo kijana RAHEEM DA PRINCE  akiwa na Presenters wa Cloudsfm Adam Mchomvu na Dj Fetty kwenye pozi paleeeeeeeee mjengoni.
Yes CNDA KING pia alishavuka na flower wa mjengoni mwanadashosti Feee a.k.a  Dj Fetty anaewakilisha Bongo Fleva ya Cloudsfm.....
Kama ulicheck show utapata kumsoma huyu mwana coz 2limzungumzia sana...... Anaitwa KELVIN wa TUSKER PROJECT FAME  last year.... ambaye b4 hajajiengua ktk kundi walipata fanya bonge la Video na mshikaji alikua na swagger za kutosha sn humo ndani......
Video inakwenda kwa jina la CRAZY ... hope wadau mmeshaitia machoni kupitia Tv mbalimbali eeeeeeeeh? Bonge la Video aiseeeeeeeeeeeh... ADAM wa visual lab unadhani mchezo?
Huyu sasa ni CNDA KING  one of the member wa Pretty Boyz... anashine lyke Daaaaah!!!!!! kwa sana. Pia anawakilisha Nipe5.Com!!!!!!!! mcheck na kwenye FACEBOOK zaidi...
Jina Pretty Boyz lilitoka kwa Flowers na ndio maana huwezi kuwakuta vijana hawa mbali na maua ka nyuki mzeeeeeeeee...............Unaona mwenyewe????
Ni mwendo wa gambe na kula bata mpk 6 in da morning..... Pembenizzle na Flowers wa kutosha... Hao ndo PRETTY BOYZ frm da HOOD....... Big up BOYZ!!!!!!!!!

1 comment:

  1. Why 'pretty' - Boyz? What does that name imply?
    Jamani? Kweli boys mwajiita pretty? Ili iweje?
    Poleni sana.

    ReplyDelete