Thursday, March 11, 2010

TIPPO ZIZZOU HAKANA KUTIMUA WASANII WAKE.

Baada ya vyombo kadha vya habari hapa Bongo kutangaza ZIZZOU HATAKI MSANII HATA MMOJA kwa hivi sasa na kwamba atabaki na wawili ambao ni wachanga yaani ni BABY BOY na STEVE R&B.... ZIZZOU a.k.a TIPPO hamekana na kusema hajatamka Rasmi suala hilo hila tu ni watu wachache wanazusha story hizo... Zaidi anasema soon anategemea kutangaza RASMI ni wasanii gani watabaki kwenye label na wakina nani watapigwa chinii......

ZAIDI WATCH TUMAINI TV NEXT WK ON FRIDAY KTK KPND CHA TUPO PAMOJA SAA 3 USIKU....!!!!!!!!!!!!!!                              

No comments:

Post a Comment