Friday, March 26, 2010

THIS FRIDAY ON 2PO PA1 YA TTV WITH ARNIE G....

Leo Friday ya trh 26 on Ttv saa 3 usiku is where 2po Pamoja ilipomeet with Big Boss Tippo a.k.a Zizzou mdau na maneja wa wasanii kibao wa Bongo fleva. Hapa nawazungumzia Mr. Blue a.k.a Kabaisa ,Ngwear, Steve wa RnB, Baby Boy, Mzee Zahir Zorro na wengine kibao. Na marudio ya show ni saturday @ 8pm..
Show ilisimamiwa na Steering mwenyewe Arnie Gizzle kama unavyocheki hapo juu.Ikiongozwa na Producer B.I.G Tommy, Huku nyuma ya Camera alikuepo mtu mzima Junken Milli, bila kumsahau Bro Denis Soka....... Hiyo ndo ilikuwa crew nzima.. Dressed by FELIX SINZA CLASSIC WEAR pale sinza KIJIWENI..
Tulizungumzia mambo mengi sana kuhusiana na sanaa yetu ya Bongo na hatma yake.. Changamoto zinazomkabili kusimamia kazi za wasanii na wasanii wenyewe . Pia alizungumzia soko la Bongo Fleva kwa Ujumla... Na hakusita kugusia Mahusiano kati yake na Dj Choka ..... mpango mzima na mikakati aliyonayo kwa sasa.... 

 Nway don't Miss this Exclusive show on Ttv @ 9pm!!!!!!!!!

1 comment: