Wednesday, March 24, 2010

SAM TIBBA, THE GENERAL ALIPOPIGA TOUR MT. KILIMANJARO

Hapo down ni Sam Tibba a.k.a The General (kushoto) Na Mbwana Mbwana (kulia) wakiwa katika moja ya vilele vya Mt. Kilimanjaro.

Samson Tibba, The Gen. si jina geni kwa mafans wa show yang ya 2po Pa1 every friday saa 3usiku pale Ttv. Is 1 of Crew member kwa namna moja..... Once in life tyme si mbaya kama ukipata nafasi ya kutembelea moja ya vivutio vilivyo nchini kwetu ka The Gen na Mbwana walivyopata chance ya kutembelea Mt. Kilimanjaro, the Highest Mt. in Africa...... Na kufanikiwa kufika kileleni, sina budi kuwapatia HONGERA HAWA MABRO,,,
Not only me niliyowapatia Hongera!! Waliposhuka tu walikutana na jopo la viongozi wakubwa wa nchi wakiongozwa na mkuu wa majeshi Gen. Davis Mwamunyange aliyewatunikia vyeti wale wote walioshiliki matembezi hayo. Na zaidi alitoa pongezi sana kwa wale wote waliofanikisha kufika kileleni 6 kati ya washiriki 20. Kati ya 6 Sam Tibba na Mwana pia walikuemo....... GREAT DEAL MA BRO WANGU!!!
Nimeipenda sana hiyo view hapo juu ,Then ka mabraza hawa wajanja wameshatengeneza bonge la CV afuu wameitendea haki Nchi yao.... JIULIZE SWALI NI WATANZANIA WANGAPI WALISHAPANDA AU KUTEMBELEA MOJA YA VIVUTIO VYETU? 
Jaman c mpk Watalii wa nje waje 2 kwetu kila siku huku wazawa hatujui hata Ramani ya kwenda Kilimanjaro na kuishia kuona kwenye picha ka hivi? Tushirikiane kukuza Utalii wa Ndani...... THINK ABT THAT.. Big up Bro Tibba a.k.a The Gen na MBWANA...!!!!

1 comment:

  1. Nimeona njia ya hapa kupitia MISHEMISHE 24/7 na nimefurahi kukaribia hapa na kuwa follower wa kwanza.
    Karibu ulimwengu wa ku-blog na keep up the good work
    Blessings

    ReplyDelete