Thursday, March 11, 2010

PREETY BOYZ WATIMBA KWA KISHINDO KWENYE GAME...


Ni kama zali hivi kukutana nao then 2tapiga enterview pale slipway...uanjua nini? jamaa wanatisha mbayaaaaaaa.  wanasimama kama pretty boyz ambapo kuna CNDA na RAHEEM kama unavyowachek hapo down wakiwa studio za MJ......NI 2009 wameingia studio kwa LAMAR na kutoa first track iliyokwenda kwa jina la MDAU..... ambayo wanai release next wiki na kuifanyia video soon......... pia wana track inaitwa super model iliyopikwa pale KIKI'S REC chin ya  prod BACKSTAGE frm Kenya ..... OFFICIAL track mpk sasa ni mbili.... 


CNDA KING one of  the member of PREETY BOYZ ...Tho walikua watatu kipindi wanaanza game hili  bt ka mchizi mmoja akapingwa chini hivi..... Hope unamkumbuka yule KELVIN aliyeshiriki TUSKER PROJECT FAME last year kama ulifatilia shindano hilo TBC1, ndo mchizi aliyepigwa chini na PREETY BOYZ.............
CNDA & RAHEEM ktk pozi la pamoja......................... wana video inayobang sana, CRAZY ndo jina lake na ka unachungulia sana kideo utakua umeshaiona....... nway 2lipiga story kibao sn sn kama vipi ndani ya show moja na Tippo next wk ktk side A.... IN 2PO PA1 ya Tumaini Tv  SOOOOOO next friday saa 3 usiku...!!!!!!!!

ONLY ON TUMAINI TV................. DON'T MISSSSSSSSSSSSSSS!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment