Thursday, March 11, 2010

PIPII ASEMA NI MWENDO WA VIDEO MWANZO MWISHO.

This friday ktk tupo pamoja show ya Tumaini tv saa 3 usiku nitakua na mwanadashoti pipii frm THT...... mengi 2mepiga nae story na kusema hana mpango wa kutoa audio this time zaidi ni mwendo wa video mwanzo mwisho ... kuhusu historia yake ya muziki ilianzaje? anasema "Muziki nilianza kwenye miaka ya 2004, nakumbuka nilikuwa shule, ila aliyenisaidia sana kugundua kipaji changu ni Mama yangu mzazi, kwa muda huo.... "

SO dn't miss da show its hot...................


No comments:

Post a Comment