Friday, March 19, 2010

A NIGHT IN FILM.

Jana nilipata nafasi ya kwenda kumwakilisha Boss wangu ktk mwaliko wa Usiku wa Filamu pale New World Cinemas Mwenge ulioandaliwa na Flame Tree Media Trust na MFDI Tanzania. Ambapo kulikua na 3 leading film makers wakionyesha latest works na kudiscuss wapi Industry inakwenda na wapi Tz fits in.
              
Kubwa zaidi zilionyeshwa movie 3 za ukweli ambazo ni WEAKNESS director wake ni Wanjiru Kairu na Producer Abdu Simba & Ekwa Msangi-Omari, THE TRIP ambayo Director ni James Gayo (mzee wa KINGO) na Producer  Maisha Films Labs Na mwisho was so hot kwani ilinigusa sana  MWAMBA NGOMA ambayo Director ni Jordan Riber na na Producer akiwa yeye mwenyewe akisaidiana na John Riber. 

Jamaa kajitahidi sn kwani alibase on Tanzania's Musical History na kuonyesha maisha ya wasanii  maarufu wa muziki Bongo na pia muziki unachangia vipi Maendeleo ya Taifa? Ndani walikuepo wasanii kibao Ka Juma Nature, P Funky, Jmo, Fid Q, MwanaFA, na wengine kibaoooooooooooooooooooo...........


Ktk Picha Ndio Jordan Riber the Producer & Director wa hiyo Movie .... So I enjoyed My 9t sana nilikutana na mtu ka James Gayo na wasanii kibaooooooooooooo humo ndani.
No comments:

Post a Comment