Saturday, March 20, 2010

THE HIPHOP & FREESTYLE ICON IN TOWN.

Anafahamika kama Michael Yongo pale Ifm.. but kitaa 2namsoma ka Dr. O, jamaa ni mkali sana wa ma-freestyle hapa Bongo. kitambo kaanza kuchana bt nilikuja kumsoma kwa mara ya kwanza pale British Council kwenye tamasha WAPI . haikuishia hapo kwani kwa muda mfupi toka nimeet nae, Dr. O aliubuka mshindi wa Wasanii vyuo Vikuu na kulamba TUZO za Str8Music then kula mbonge ya mkataba mnono..........
Contract ilikua ni kufanya Albam na Video zake, So far Dr. O  yupo jikon anaendelea na mapishi na anytime frm Now atarelease brand new Track goes by the name of  VUJA JASHO mkono wa Macko mchali chali pale MJ Rec......
Project ni kwamba soon  mkali Dr. O atingiza Mzigo sokoni utakaobeba jina la MONEY, POWER & RESPECT...............

Unajua nini? jamaa ni mkali sn bana. Daaaah ukisikiliza Ngoma yke hope u'll get back 2 me...... HE NEED UR SUPPORT!!!!!!!
                                     HIPHOP 4 EVA.

1 comment:

  1. yap big up dr.o tunakukubali sana fanya kweli utasumbua sana,vp ulikua pande zp hapo kwa kweli imekaa vizuri mkuu

    ReplyDelete