Friday, March 12, 2010

PENDO WA MADEE HATUNAYE TENA DUNIANI.


Kama unakumbuka ngoma ya SPACK na CHID BENZ..... kuna mstari ambao King Kong kaimba.... Tupendane ka Madee na PENDO..... So huyo PENDO aliyezungumziwa humo ndani hatunaye tena duniani.
PENDO aliyekua mchumba wa Rais wa Manzese Madee toka TipTop Connection alifariki majuzi ktk ajali ya basi iliyotokea mjini Dodoma. KAZI YAKE MOLA HAINA MAKOSA - MADEE.
ROHO YA MAREHEMU ILAZWE MAHALI PEMA PEPONI AMINA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

No comments:

Post a Comment