Wednesday, March 17, 2010

BARLEY TUPO PAH MORE JAH......

Rafiki mwema ni yule anayekukumbuka wakati wa shida... It was midnight kuamkia j3 ya terehe 15 this march when was my Birthday...... napokea simu nakutana na sauti ya maombolezo daaaah was so confused wen Barley aliponiambia kampoteza his lovely sister Brigta. sikuzungumza lolote zaidi ya kumwambia "NAJUA UNAMPENDA SANA HILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI" Then nikawapigia simu washikaji na kwenda mpa company mwana that nite pande za tbt kwake...... Msiba upo kwao sinza Mori.
Mshikaji alikua na love ya kutosha na cc wake....so kampoteza mtu wa maana na muhimu sn kwake. but nashukuru washikaji wote waliojitokeza kumpa support  espclly Patr, Baby Boy, Big R, Jack, Charles, Emma, Denis Manyoya, Victor na mbwila kibaoooooo  kwenye kipindi hiki kigumu. Mazishi ya sister wetu mpendwa Brigta yatafanyika kesho trh 18 march  saa 10 jioni katika makaburi ya Sinza. Lets join 2gether kumcompany Barley kwenye siku ngumu kwake na pia kumsindikiza dada yetu AKAPUMZIKE KWA AMANI.........

MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU  DADA YETU BRIGTA MAHALI PEMA PEPONI AMINA !!!!!!

No comments:

Post a Comment