Wednesday, March 31, 2010

SISTER FARIDA WA RADIO UHURU ATUNAE TENA.

Farida  Masoli alimaarufu kama Sister Farida ambaye ni mtangazaji wa Radio Uhuru amefariki Dunia nyumbani kwake magomeni mikumi leo majira ya asbh... 

 Kabla ya kuamia radio Uhuru aliwahi kufanya kazi East Africa Radio...Sister Farida Tutamkumbuka kwa mengi sana hasa utangazaji wake wa kipekee. Mungu aiweke Roho ya marehemu mahali pema Peponi AMINA!!!!!!!!!!!!  R.I.P

TID WA KWANZA KUJITOA TUNZO ZA KILI 2010....

Naomba radhi kwa mashabiki wangu wote kutoka pande zote za sayari hii najua mlikua mnasubiria kunipigia kura kwenye hiki kinyanganyiro cha award hizi za kilimanjaro,najua imekua uamuzi muafaka kwangu kujitoa kwene awards hizi basi naomba muelewe sababu zangu hizi za msingi:

1.Kwanza nahisi mimi kama TID na mziki ninao perfom kwa kipindi chote hiki cha miaka saba toka nimepewa tunzo hizi sina umuhimu wa kuwa shiriki sababu hata nikitengeza wimbo ambao unakubalika sana na wapenzi wa muziki huu wa kizazi kipya sipewi tuzo kwa mantiki hiyo naona sioni sababu ya kuwa kwenye tuzo hizi.

2.Pia nilidhani labda ni upungufu wa mawazo ya majaji ama waandaaji ambao imewezekana nilitofautiana nao kipindi fulani nilipokuwa nafanya nao kazi za maonesho,inauma sana unapoona wengine ambao uko nao kwene same field wanapewa nafasi kubwa ambayo pia mimi nastahili kutokana na juhudi ambazo nafanya kwenye sanaa hii ya kizazi kipya hapa nahisi sihitajiki kwani kama wimbo wangu wa bendi ni bora wa mwaka kwanini nisiwe mwanamuziki bora wa kiume mwaka huo,pia hata video zangu huwa za viwango vya juu nazo hazipewi nafasi kwenye video bora za mwaka!

3.Kwa sababu hizi ambazo mimi naona kwangu hazinijengi sioni sababu ya kuwepo kwenye TUNZO hizi tena kwani sidhani kama ni wakati wa kuwaangusha mashabiki wangu ambao natumia muda mwingi na effort binafsi bila ya mdhamini kuwaunganisha na muziki wangu basi nisameheni kama nimewakosea lakini hainisaidii chochote endeleeni na hao mnaowapa kila category i will never stop making good music for my country surely i wont,i was born to do THIS,.. THANK  Info zinatoka kwa mhusika mwenyewe TID kupitia www.topbandtz.blogspot.com

MY HOMIE, WELCOME 2 DA HOOD....


Mimi ni mwandishi wa habari na mtangazaji wa kituo cha redio cha 87.8 Ebony fm cha Iringa lakini mimi niko Dar-Mini Studio, naitwa Renatus Kiluvia,ni mmoja wa wafuatiliaji wazuri wa blog yako,naomba msaada wako wa kunitangazia blog yangu mpya www.muzikinamaisha.blogspot.com,blog yangu inahusu muziki na maisha katika nyanja tofauti-tofauti,pia itahusika kuzungumzia burudani zingine kama filamu n.k. Akhsante!!!!!!!!!!!

Monday, March 29, 2010

VUJA JASHO YA DR. O ON AIR.

J'mos ktk Bongo Fleva ya Cloudsfm na mwanadashoti Feeee a.k.a DJ Fetty ngoma mpya na kali ya mwanaharakati Michael Yongo a.k.a Dr. O inayokwenda kwa jina la VUJA JASHO ilitambulisha Rasmi......  na kuanzia hapo mpango mzima tutaendelea kuisikiliza ktk vituo mbalimbali vya Radio...
Ni track ambayo imepikwa na Producer matata, hapa namzungumzia mtata Mako Chalii kutoka  pale kwenye chata la Mj Records.
Hili harakati ziendelee jamaa anaitaji support yako we fans wa Hip Hop na Muziki wetu kiujumla kwa kusikiliza ngoma, kuomba kwenye reqst za Radio mbalimbali n.k...
ZAIDI THNX 4 SUPPORT NA TEGEMEA TRACK KIBAOOO TOKA KWA DR. O MKALI WA FREESTYLE ...........          ONE LOVE!!!!!!!!!

UNAWASOMA PRETTY BOYZ WANAVYO BANG TOWN?????

Ni makachaa wawili, hapa namzungumzia Cnda King na Raheem Da Prince  yoooooo.. kwa pamoja wanawakilisha PRETTY BOYZ. Na hapo ni last wk nilipopiga nao interview kwenye show ya ukweli 2po Pamoja ya Ttv..... kama ulimiss fanya kunitafuta  hiviiiii nikupe copy coz da show was so HOT.....
Huyu ni RAHEEM DA PRINCE one of the member wa Pretty Boyz... anashine lyke a Star.... He can transform u kwenye swagger 2........
Hapo kijana RAHEEM DA PRINCE  akiwa na Presenters wa Cloudsfm Adam Mchomvu na Dj Fetty kwenye pozi paleeeeeeeee mjengoni.
Yes CNDA KING pia alishavuka na flower wa mjengoni mwanadashosti Feee a.k.a  Dj Fetty anaewakilisha Bongo Fleva ya Cloudsfm.....
Kama ulicheck show utapata kumsoma huyu mwana coz 2limzungumzia sana...... Anaitwa KELVIN wa TUSKER PROJECT FAME  last year.... ambaye b4 hajajiengua ktk kundi walipata fanya bonge la Video na mshikaji alikua na swagger za kutosha sn humo ndani......
Video inakwenda kwa jina la CRAZY ... hope wadau mmeshaitia machoni kupitia Tv mbalimbali eeeeeeeeh? Bonge la Video aiseeeeeeeeeeeh... ADAM wa visual lab unadhani mchezo?
Huyu sasa ni CNDA KING  one of the member wa Pretty Boyz... anashine lyke Daaaaah!!!!!! kwa sana. Pia anawakilisha Nipe5.Com!!!!!!!! mcheck na kwenye FACEBOOK zaidi...
Jina Pretty Boyz lilitoka kwa Flowers na ndio maana huwezi kuwakuta vijana hawa mbali na maua ka nyuki mzeeeeeeeee...............Unaona mwenyewe????
Ni mwendo wa gambe na kula bata mpk 6 in da morning..... Pembenizzle na Flowers wa kutosha... Hao ndo PRETTY BOYZ frm da HOOD....... Big up BOYZ!!!!!!!!!

Sunday, March 28, 2010

ABOUT JML DA BIG BANK MAIL MAN . ..

Was born Joachim Munga Luguru full names thats why i call my self JML DA BIG BANK MAIL MAN . 

i was born and raised in zambia the so called the african sun. 
i been practising this beautifull art since 1990 when i was 10 i continued practising till i attened THE EVELYNE HONE COLLEGE OF APPLIED ARTS AND COMMERCE IN ZAMBIA STUDYING GRAPHIC ARTS REPRODUCTION. 
zambia my country of birth i have been recording since 1999 but 2006 is when i began recording seriously under a freinds record label thats ROGA ROGA AN INDIE LABEL. 
matrix as the producer martin arico a ugandan......................


.......now this year am on it HIPHOP IS A VECHICLE I USE AS A WAY OF EXPRESSING WHAT WE EXPERIENCING HERE IN AFRICA AM POSITIVE AND BELIEVE EVEN WE AFRICANS ARE REPRESENTING THE REAL CONCIOUS FLOWS AM IN TANZANIA IRINGA CITY IN THE SOUTHERN HIGHLANDS AM CURRENTLY WORKING FOR HOT92FM FORMERLY I WAS WITH KISSFM MWANZA TANZANIA.

KISSFM IS WHERE I WAS KNOWN FOR RUNNING HIPHOP SHOWS AND DOING FREESTYLES ON AIR ESPECIALLY FRIDAY NIGHTS ON FRIDAY NIGHT LIVE THOUGH INTIALLY MY MEDIA CAREER PRACTISE BEGAN AT ZNBC RADIO FOUR LUSAKA ZAMBIA WHERE I PERFECTED MY ART OF PRESENTING ON RADIO SINCE 1996 I HAVE 14 YEARS MEDIA EXPERIENCE 
MY QUEST IS STILL ON I AINT RETALIATING TILL THE END OF MY BREATH.

I GREW UP LISTENING TO THE LIKES OF KRS ONE,RUN DMC,PUBLIC ENEMY NWA,WU-TANG CLAN ICE-CUBE,DRE,MC8,DAMN THEY ARE TOO MANY TO MENTION AM NOW ON THIS LINK AND I REALLY NEED YOUR RELENTLESS

MORAL SUPPORT.

I LOVE PEOPLE, AM A RADIO PRESENTER AND PRODUCER CAN HOST ANY SHOW AND AM ALSO A MC ,I LOVE AMBITIONS,MUSIC,MY JOB AND NOT FORGETTING FLYING LIGHT WEIGHT AIRCRAFT FOR RECREATIONAL PURPOSES.............

Zaidi check nae kupitia www.reverbnation.com hili kusikia ngoma yake na mambo mengine ka hayooooooo!!!!!!!!!!!!!!!!!!!......

Friday, March 26, 2010

THIS FRIDAY ON 2PO PA1 YA TTV WITH ARNIE G....

Leo Friday ya trh 26 on Ttv saa 3 usiku is where 2po Pamoja ilipomeet with Big Boss Tippo a.k.a Zizzou mdau na maneja wa wasanii kibao wa Bongo fleva. Hapa nawazungumzia Mr. Blue a.k.a Kabaisa ,Ngwear, Steve wa RnB, Baby Boy, Mzee Zahir Zorro na wengine kibao. Na marudio ya show ni saturday @ 8pm..
Show ilisimamiwa na Steering mwenyewe Arnie Gizzle kama unavyocheki hapo juu.Ikiongozwa na Producer B.I.G Tommy, Huku nyuma ya Camera alikuepo mtu mzima Junken Milli, bila kumsahau Bro Denis Soka....... Hiyo ndo ilikuwa crew nzima.. Dressed by FELIX SINZA CLASSIC WEAR pale sinza KIJIWENI..
Tulizungumzia mambo mengi sana kuhusiana na sanaa yetu ya Bongo na hatma yake.. Changamoto zinazomkabili kusimamia kazi za wasanii na wasanii wenyewe . Pia alizungumzia soko la Bongo Fleva kwa Ujumla... Na hakusita kugusia Mahusiano kati yake na Dj Choka ..... mpango mzima na mikakati aliyonayo kwa sasa.... 

 Nway don't Miss this Exclusive show on Ttv @ 9pm!!!!!!!!!

Wednesday, March 24, 2010

SAM TIBBA, THE GENERAL ALIPOPIGA TOUR MT. KILIMANJARO

Hapo down ni Sam Tibba a.k.a The General (kushoto) Na Mbwana Mbwana (kulia) wakiwa katika moja ya vilele vya Mt. Kilimanjaro.

Samson Tibba, The Gen. si jina geni kwa mafans wa show yang ya 2po Pa1 every friday saa 3usiku pale Ttv. Is 1 of Crew member kwa namna moja..... Once in life tyme si mbaya kama ukipata nafasi ya kutembelea moja ya vivutio vilivyo nchini kwetu ka The Gen na Mbwana walivyopata chance ya kutembelea Mt. Kilimanjaro, the Highest Mt. in Africa...... Na kufanikiwa kufika kileleni, sina budi kuwapatia HONGERA HAWA MABRO,,,
Not only me niliyowapatia Hongera!! Waliposhuka tu walikutana na jopo la viongozi wakubwa wa nchi wakiongozwa na mkuu wa majeshi Gen. Davis Mwamunyange aliyewatunikia vyeti wale wote walioshiliki matembezi hayo. Na zaidi alitoa pongezi sana kwa wale wote waliofanikisha kufika kileleni 6 kati ya washiriki 20. Kati ya 6 Sam Tibba na Mwana pia walikuemo....... GREAT DEAL MA BRO WANGU!!!
Nimeipenda sana hiyo view hapo juu ,Then ka mabraza hawa wajanja wameshatengeneza bonge la CV afuu wameitendea haki Nchi yao.... JIULIZE SWALI NI WATANZANIA WANGAPI WALISHAPANDA AU KUTEMBELEA MOJA YA VIVUTIO VYETU? 
Jaman c mpk Watalii wa nje waje 2 kwetu kila siku huku wazawa hatujui hata Ramani ya kwenda Kilimanjaro na kuishia kuona kwenye picha ka hivi? Tushirikiane kukuza Utalii wa Ndani...... THINK ABT THAT.. Big up Bro Tibba a.k.a The Gen na MBWANA...!!!!

Tuesday, March 23, 2010

YAKUZZA MOB , BIG TIME IN THIS GAME...,

MWANZONI....... 1999 muda ambao Bongofleva inaanza kukubalika maskioni mwa wadau wengi mpk leo 2010 they still in da game ...Unapacheki hapo? Parefu sn eeeeeh?. Nway wanafahamika kama YAKUZZA MOB wazee wa Makopa Inc

Baada ya mpango mzima wa HUJAMJUA na ngoma yao nyingine ya USIOGOPE soon watadondosha track yao mpya ya ASIDI WA ROHO  ilio tayari upade wa Audio iliyopikwa Mombasa Kenya ktk Studio za SQ RECORD na bwana mdogo SHRIKO (zamani alikua TEDD RECORDS ZA ZNZ) ambapo wanasubiria kukamilisha suala zima la Video pale kwa mtu mzima Adamu wa VISUAL LB hili mpango mzima uende sawa.........   So kipindi wapo kwenye foleni ya kuwait da Video wameamua kutoa Bonus Track kwa mafans wao itakoyokwenda kwa jina la MUNNY MA......

Hapa ni One of the member wa Yakuzza Mob Jeffy G, akiwa na Banana Zorro mzee wa B. Band.
Zaidi ni washikaji wanaofanya kazi kwa krb sana na MB Dogg na kwa pamoja wanawakilisha MAKOPA INC. Ni brand ya ukweli sana ambayo inadili na issue kibao za Entertainment kuanzia kuandaa mashoo, stage arrangement, n.k but muhimu sana unaona hizo t-shirt walizovaa hapo juu pia wanausika sn, na mzigo unatoka OMAN ambapo ndipo uzitengenezea.......... kama vipi ukihitaji mzigo hili na wewe upendeze check nao kupitia namba zao hapo chini.....
  
So zaidi ya muziki wana issue nyingi zinazo waweka bize muda wote ikiwa ni pamoja na kulijenga Taifa letu...... kuhusiana na suala la Albamu? Wapo ktk mlolongo wa wasanii wasioamini ka Albam inalipa kutokana na maslahi madogo ktk GAME... wana ngoma nyingi sn za kujaaa pipa but moja moja kwao ndo mpango mpk hapo mambo yatakapo wekwa sawa....... Harakati za UKOMBOZI wa BONGOFLEVA bado zinaendelea na wao ni moja  ya wanaharakati wa Ukombozi huu...
Mweye mawani hapo juu ni MBWANA a.k.a Mbuzi ukitaka mpata check nae kupitia +255 713 180343  na alieinama ni JEFFY a.k.a ...... Kondoo? Bt usiniulize y mbuzi na kondoo plz..Mcheck kupitia namba+255 715 939212 afu tuoneeeeee!!!!!!!!!!!  Kwa pamoja wanawakilisha        YAKUZZA MOB.... 4EVA!!!!!!!!!!!!

4 MORE INFO ZINAZOWAHUSU ENDELEA KUCHECK MY BLOG!!!!!!!!!

Monday, March 22, 2010

WEEK END YANGU ILIANZA HIVI.... J'MOS

J'mos aft Job nilienda smwhr in Dar kupunga upepo wa bahari na kurefresh my mind by da way napenda sn kuangalia maji si unajua ma Ocean view?..... 4 sure i real enjoyed my day na baadae kidogo nikapokea simu kutoka kwa mwana mmoja Goes by the of  MIPAX kunipatia mchongo fulan hivi... kimtindo akabidi nifunguke all da way frm Dsm 2 smwhr else......  Baada ya kupiga mzigo 2likula bata kimtindo then......
Hapa ndo nilikua ka naamka asbh ya j2 kujiandaa kurudi Dar... usiniulize ni wapi nilienda? by da way nilifika salama Dar na zaid niliendelea na mishemishe yangu kama kawa kumalizia wk end....

Saturday, March 20, 2010

MODELING INDUSTRY IN BONGO.

Ukimtazama kwa makini model huyu wa ukweli unaweza kujikuta unalopoka ka si kusema MZUKA !!!!!!!!!!! Yes jamaa anawakilisha kwenye Bango kibao sana hata town.... Fanya kucheki currently Zantel ya Mzuka..... Goes by the of  WALTER na ypo anapiga chuo pale IFM..   
The guy is proud of himself being Model.... kashapiga fashion show kibaoo na soon pale Mbalamwezi zamani MALAIKA kutakua na Launch ya Agency Mpya itakayokuwa inashughulika na mambo ya u-Model, hopefully mtatangaziwa da Event ita happen lini? nendelea kuvisit hapa........    Mabinti msipagawe  eeeeeeeeeeh.!!!!!

Activities nyingi zitaHappen siku hiyo hila kubwa zaidi ni pale mwana atakapo simama on the stage ready 4 da fashion show....... 

GUYZ U KNW WAT 2 DO???????? LADIES GRAB UR FRIEND N' DONT MISS!!!!!!!!!!

                                      BRAVO WALTER.

THE HIPHOP & FREESTYLE ICON IN TOWN.

Anafahamika kama Michael Yongo pale Ifm.. but kitaa 2namsoma ka Dr. O, jamaa ni mkali sana wa ma-freestyle hapa Bongo. kitambo kaanza kuchana bt nilikuja kumsoma kwa mara ya kwanza pale British Council kwenye tamasha WAPI . haikuishia hapo kwani kwa muda mfupi toka nimeet nae, Dr. O aliubuka mshindi wa Wasanii vyuo Vikuu na kulamba TUZO za Str8Music then kula mbonge ya mkataba mnono..........
Contract ilikua ni kufanya Albam na Video zake, So far Dr. O  yupo jikon anaendelea na mapishi na anytime frm Now atarelease brand new Track goes by the name of  VUJA JASHO mkono wa Macko mchali chali pale MJ Rec......
Project ni kwamba soon  mkali Dr. O atingiza Mzigo sokoni utakaobeba jina la MONEY, POWER & RESPECT...............

Unajua nini? jamaa ni mkali sn bana. Daaaah ukisikiliza Ngoma yke hope u'll get back 2 me...... HE NEED UR SUPPORT!!!!!!!
                                     HIPHOP 4 EVA.

Friday, March 19, 2010

A NIGHT IN FILM.

Jana nilipata nafasi ya kwenda kumwakilisha Boss wangu ktk mwaliko wa Usiku wa Filamu pale New World Cinemas Mwenge ulioandaliwa na Flame Tree Media Trust na MFDI Tanzania. Ambapo kulikua na 3 leading film makers wakionyesha latest works na kudiscuss wapi Industry inakwenda na wapi Tz fits in.
              
Kubwa zaidi zilionyeshwa movie 3 za ukweli ambazo ni WEAKNESS director wake ni Wanjiru Kairu na Producer Abdu Simba & Ekwa Msangi-Omari, THE TRIP ambayo Director ni James Gayo (mzee wa KINGO) na Producer  Maisha Films Labs Na mwisho was so hot kwani ilinigusa sana  MWAMBA NGOMA ambayo Director ni Jordan Riber na na Producer akiwa yeye mwenyewe akisaidiana na John Riber. 

Jamaa kajitahidi sn kwani alibase on Tanzania's Musical History na kuonyesha maisha ya wasanii  maarufu wa muziki Bongo na pia muziki unachangia vipi Maendeleo ya Taifa? Ndani walikuepo wasanii kibao Ka Juma Nature, P Funky, Jmo, Fid Q, MwanaFA, na wengine kibaoooooooooooooooooooo...........


Ktk Picha Ndio Jordan Riber the Producer & Director wa hiyo Movie .... So I enjoyed My 9t sana nilikutana na mtu ka James Gayo na wasanii kibaooooooooooooo humo ndani.
Wednesday, March 17, 2010

BARLEY TUPO PAH MORE JAH......

Rafiki mwema ni yule anayekukumbuka wakati wa shida... It was midnight kuamkia j3 ya terehe 15 this march when was my Birthday...... napokea simu nakutana na sauti ya maombolezo daaaah was so confused wen Barley aliponiambia kampoteza his lovely sister Brigta. sikuzungumza lolote zaidi ya kumwambia "NAJUA UNAMPENDA SANA HILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI" Then nikawapigia simu washikaji na kwenda mpa company mwana that nite pande za tbt kwake...... Msiba upo kwao sinza Mori.
Mshikaji alikua na love ya kutosha na cc wake....so kampoteza mtu wa maana na muhimu sn kwake. but nashukuru washikaji wote waliojitokeza kumpa support  espclly Patr, Baby Boy, Big R, Jack, Charles, Emma, Denis Manyoya, Victor na mbwila kibaoooooo  kwenye kipindi hiki kigumu. Mazishi ya sister wetu mpendwa Brigta yatafanyika kesho trh 18 march  saa 10 jioni katika makaburi ya Sinza. Lets join 2gether kumcompany Barley kwenye siku ngumu kwake na pia kumsindikiza dada yetu AKAPUMZIKE KWA AMANI.........

MUNGU AIWEKE ROHO YA MAREHEMU  DADA YETU BRIGTA MAHALI PEMA PEPONI AMINA !!!!!!

Tuesday, March 16, 2010

WELCOME 2 OUR OFFICE............ DAAAAAH.

Kama ukifika Ofisini kwetu unakutana na bonge la Tabasamu la ukweli sn... Anaitwa Leah na ukitaka kujua jina lake la pili ,daaaaaaaaaaah sa huo utata.... Zaidi karibu job and by the way she is my BOSS in Marketing department........ Mkarimu na mpenda watu asiyekua na makuu ............ Weng mngependa kuomba namba yake ni 07135................................... Haaaaaaaaaaaaaaaaaah weeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeewe ya nini sasa.?

USIULIZEE EBONY FM INABANG NIAJE..............???

Hapa ni baadhi ya Ebony Fm Crew wakibadilishana ideas za hapa na pale mwana........... Bonge la Radio Station frm Iringa Town .... The leading Radio Station in Southern highland usiulizee! UNABASHAAAAAAAAAAAAAAAA? Just FEEL THE DIFFERENCE...............


Hili si ndo ndinga lao daaaaaaaaaaaah (OB VAN) Kokote pale wapiga mzigo mwanzo mwisho na watu wanakubali...... ukifika Iringa town huna haja ya kuuliza burudani........... kuanzia malive band, disco n clubs, yaani ni full Entrtainment mwanzo mwisho..............
WANATISHAAAAAAAAAAAAAAAA!!!!!!!!! UNABISHAAAAAAAAAAAAAA??????????????VOTE OR............. 4 VANESSA MDEE.

Unamkumbuka mwanadada mwenye swager za kutosha ktk Mtv Base ka miaka 3 iliyopita? jaman anaitaji support yako mdau wa burudani mwanzo mwisho , hili aweze fika next level...... unajua nini? 4 more info fanya kuvisit www.haki-hakingowi.blogspot.com

MPE SHAVU MWANADADAAAAAAAAAAAAAA....................

Friday, March 12, 2010

PIPI ON THE SHOW 2DAY......WITH ARNIE GIZZLE

Kitaa cha saa 3 usiku kupitia Tumaini Tv atakua na m2 mzima Arnie Gizzle kwenye show ya 2po Pamoja..... then marudio ni saturday (2moro) saa 2 usiku... swaga za kutosha humo ndani................... bana eeeeeeeeeeeeh don't MISS!!!!!!!!!!!!!!!!!

PENDO WA MADEE HATUNAYE TENA DUNIANI.


Kama unakumbuka ngoma ya SPACK na CHID BENZ..... kuna mstari ambao King Kong kaimba.... Tupendane ka Madee na PENDO..... So huyo PENDO aliyezungumziwa humo ndani hatunaye tena duniani.
PENDO aliyekua mchumba wa Rais wa Manzese Madee toka TipTop Connection alifariki majuzi ktk ajali ya basi iliyotokea mjini Dodoma. KAZI YAKE MOLA HAINA MAKOSA - MADEE.
ROHO YA MAREHEMU ILAZWE MAHALI PEMA PEPONI AMINA!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

Thursday, March 11, 2010

PREETY BOYZ WATIMBA KWA KISHINDO KWENYE GAME...


Ni kama zali hivi kukutana nao then 2tapiga enterview pale slipway...uanjua nini? jamaa wanatisha mbayaaaaaaa.  wanasimama kama pretty boyz ambapo kuna CNDA na RAHEEM kama unavyowachek hapo down wakiwa studio za MJ......NI 2009 wameingia studio kwa LAMAR na kutoa first track iliyokwenda kwa jina la MDAU..... ambayo wanai release next wiki na kuifanyia video soon......... pia wana track inaitwa super model iliyopikwa pale KIKI'S REC chin ya  prod BACKSTAGE frm Kenya ..... OFFICIAL track mpk sasa ni mbili.... 


CNDA KING one of  the member of PREETY BOYZ ...Tho walikua watatu kipindi wanaanza game hili  bt ka mchizi mmoja akapingwa chini hivi..... Hope unamkumbuka yule KELVIN aliyeshiriki TUSKER PROJECT FAME last year kama ulifatilia shindano hilo TBC1, ndo mchizi aliyepigwa chini na PREETY BOYZ.............
CNDA & RAHEEM ktk pozi la pamoja......................... wana video inayobang sana, CRAZY ndo jina lake na ka unachungulia sana kideo utakua umeshaiona....... nway 2lipiga story kibao sn sn kama vipi ndani ya show moja na Tippo next wk ktk side A.... IN 2PO PA1 ya Tumaini Tv  SOOOOOO next friday saa 3 usiku...!!!!!!!!

ONLY ON TUMAINI TV................. DON'T MISSSSSSSSSSSSSSS!!!!!!!!!!!!!!!!!!